Mkuu. Upo maeneo gani kama upo maeneo ya wachimbaji wadogowago maeneo ya Geita, nyakagwe, nyarugusu, unaweza kufanya lakini kama upo mbali na maeneo ya wachimbaji itakuwa ngumuLakisita (Tsh:600000), nnataka nijishughulishe na ununuaji wa dhahabu kutoka kwa wachimbaj wadogowadogo( locally) na kuuza at profit (kwe dealers wakubwa) pengine one day naweza kuwa among great dealer Tanzania au hata kimataifa (ths is ma desire). Hayo ni mawazo yangu wakuu. Naomben ushaur wenu wa kibiashara, should I do it au niachane nayo2. Natanguliza shukran zangu.

Mie nakupa Moyo, hakuna kitu ambacho hakiwezekani pale utakapomtanguliza Muumba ( Mungu wa Ibrahim, Isaac na Yacob), mshukuru kama umefanikiwa kuwa na huo mtaji. Sio haba, Napenda zaana kusoma taarifa za wafanyabishara maarufu na ma CEO wa makampuni makubwa, wengi walianza walianza ni miraji midogo kabisa na ma CEO wengi walikuwa wafanyakazi wakawaida

Cha msingi,kama umehamua kufanya hiyo shughuli, Ipende, jitume, jifunze na omba ushauri kwa watu wanaofanya hiyo biashara. Unaweza hata kutumia internet kujifunza zaidi kuhusu dhahabu, hususani utambuzi, Kipindi cha sabasaba au nanenane jitahidi kutembelea wakama wa serekali wa madini. wapo wataalau ongea nao, ikiwezekana jenga mazoea nao watakupa msaada mkubwa tu.Baada ya muda utajenga uwezo mabank yatakuamini na unaweza ukakopa kuongezea mtaji wako. naamini with time na wewe utakuwa mfanyabiahsara mkubwa wa dhahabu kama wa- lebanon, waarabu, wachina, wanaotoka kwao na kwenda moja kwa moja kwa wachimbaji wadogo na kuchukua kwa bei chee na kwenda kuuza kwa bei kubwa. Mwaka juzi nilikuwa shinyanga vijijini nikakutana na wahindi, wachina wanatafuta diamond kwa wachimbaji wadogo wadogo, nilijiuliza kungekuwa na watanganyika wanaoyanunua hayo madini huko maporini na kwenda kuwauzia hao wachina, wahindi na waarabu kwenye miji yetu mikubwa kama arusha na DSM si angalau mzinguko wa pesa ungekuwa mpana na kuwafaidisha watanganyika wengi

Usikate tamaa kwa kuwa ushahamua kuifanya hiyo bishara ni vema ukaanza sasa na usisubiri kesho. Naamini with time lazima utayafikia malengo yako ya maisha

Una laki sita unataka kuwa dealer wa ZE GOLD. Ngoja tupate mawazo ya ma thinkaz lakini mi naona kama huo mtaji ni mdogo sana mkuu.

MKUU MTU ASIKUKATISHE TAMAA HATA DAY MOJA WEWE SONGA MBELE NA IDEA YAKO. TATIZO HUMU WATU WENGI SANA NI WAFANYA KAZI NA SI WAFANYA BIASHARA NA WANAOGOPA BIASHARA KAMA UKOMA.

KWA KIFUPI HAMNA MTAJI MAALUMU WA KUTOSHA KUANZA BIASHARA

- WAPO WALIO ANZA NA 0 CAPITAL LAKINI LEO HII WAKO KWENYE ORODHA YA MATAJILI WAKUBWA

- WAKO WALIOANZA NA MITAJI MIDOGO SANA NA LEO HII WAKO MBALI MNO

- WAKO WALIOANZA NA IDEA PEKE YAKE BUT LEO HII NI WATU WENGINE

- UKISOMA MAKALA ZA SMEs in America wengi wa wafanya biashara wadogo kule america huanza na mtaji wa chini ya dola 10,000 can u imegine na ile ni marekani taifa kubwa na kila kitu ni juu

WATU WANAZANI ILI KUANZA BIASHARA NI LAZIMA UWE NA MILIONI 100, C KWELI KABISA HAKUNA MTAAJI MAALUMU WA KUAZNISHA BIASHARA, HATA 10,000 UNAWEZA ANZISHA NAYO BIASHARA NA MWISHO WA SIKU UKAWA MILIONEA

''YOUR FEATURE IS ALWAYS TODAY''

nipo Geita mkuu.

Basi mkuu nenda Nyakagwe au Nyakalilo, ukanunue mzigo kwa wachimbaji wadogo then unapeleka Geita mjini, mtaji ukikuwa unachukuwa mzigo mwingi unapeleke Mwanza Mjini, umenipata mkuu
Naomba unisaidie bei ya kununua?

kaka ungejua gram 1 ya dhahabu inauzwa sh.ngp kwa ma-artisanal na kununuliwa sh.ngapi na wanunuz wakubwa usinge ushangaa mtaj wangu.

Idea nyingine; Ukishakuza mtaji ukawa mkubwa vya kutosha nunua kifaa kinaitwa metal detector kinauzwa mil. 7, hiki unakuwa unaenda sehemu zenye dhahabu unakuwa unakipitisha juu ya ardhi kama kuna dhahabu chini kinapiga kelele unafukua unachukua dhahabu, kinaitwa Minelab GPX 5000. Cheki kwenye website ya minelab.com utaona dealer wa Tanzania yuko mbeya.