Abdu_22
Member
- Feb 8, 2025
- 14
- 12
Habari, nimekaa nimewaza nipo Tanzania lakn naishi kama mkimbizi kula yangu km mpira wa danadana Kuna muda uanguke Kuna muda uturie mguuni,
Imefika hatua wazazi nilienda likizo mara Moja nimewaambia natak nirudi. Wakaniambia hawanikataz ila nakuwa nimerudi hatua Moja nyuma kimaisha umri niliofkia inabidi niendele mbele sio kuwaza nyumbani...
Mimi kwa akili yangu ya 4m 4 halafu Nina uchungu na Ulaya mana nliambiwa na mzee wangu maisha ni popote ko nImeona niukatae utaifa wa Tanzania niend nijipereke migration niwaambie mimi ni MKONGO natafuta ifadhi Ili nipelekwe kwenye kambi za wakimbizi halafu ikipatikana nafasi mimi niingye mamtoni niepuke huku mashimoni.