Nimekaa nimewazaaa nimeamua hivi

Nimekaa nimewazaaa nimeamua hivi

Afande Nyati

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,385
Reaction score
1,414
Akinitumia short words text nami najibu kwa namna hiyo hiyo.
Akituma romantic text nami nitamtumia romantic...
Akinitumia emoji kwny whatsapp nami najibu kwa emoji.....

Mbwa kala mbwa....

Jamani hii njia itanisaidia kuweka mambo sawa na huyu mupenzi wangu??...
 
sababu ya kufanya hivyo ni nini?
 
Mmh...mbaya sana hiyo. Achana na hiyo style...jishushe myazungumze..
 
Sasa mamii Heart ujue nilikumiss sana,sasa nimerudi baada ya ban,sasa ajishushe kivipi?,maana tayari keshajishusha na ndio maana huwa anafanya kama mpenzi wake anavyotaka.
 
Ulikuwa segerea kumbe..poleeee.

Aachane na hayo ya kumkomoa, amfuate wazungumze uso kwa uso. Kwa watu wenye mahusiano yenye dira, ikiwa hivyo itakuaje wakioana??!
 
Mmh...mbaya sana hiyo. Achana na hiyo style...jishushe myazungumze..
Kila navyojishusha hapo ndo anakuwa kama mbogo. Natafuta njia nyingine ya kuendana nae....
 
Ulikuwa segerea kumbe..poleeee.

Aachane na hayo ya kumkomoa, amfuate wazungumze uso kwa uso. Kwa watu wenye mahusiano yenye dira, ikiwa hivyo itakuaje wakioana??!
Na kweli,hapo umesema mamii.
 
Nawaza tu hapa;

Ikitokea kwangu naweza kuhisi nasubiri meli katika uwanja wa ndege.

Hapo naweza kukaa kimya na kuendelea na maisha yangu, pengine mbele ya safari nitapata meli bandarini..

[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Wengine wavivu tu kuandika bwana.
 
Back
Top Bottom