Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
sababu ya kufanya hivyo ni nini?Akinitumia short words text nami najibu kwa namna hiyo hiyo.
Akituma romantic text nami nitamtumia romantic...
Akinitumia emoji kwny whatsapp nami najibu kwa emoji.....
Mbwa kala mbwa....
Jamani hii njia itanisaidia kuweka mambo sawa na huyu mupenzi wangu??...
Najipendekeza sana ila mwenzangu mkavu.sababu ya kufanya hivyo ni nini?
Sasa mamii Heart ujue nilikumiss sana,sasa nimerudi baada ya ban,sasa ajishushe kivipi?,maana tayari keshajishusha na ndio maana huwa anafanya kama mpenzi wake anavyotaka.Mmh...mbaya sana hiyo. Achana na hiyo style...jishushe myazungumze..
Ulikuwa segerea kumbe..poleeee.Sasa mamii Heart ujue nilikumiss sana,sasa nimerudi baada ya ban,sasa ajishushe kivipi?,maana tayari keshajishusha na ndio maana huwa anafanya kama mpenzi wake anavyotaka.
Kila navyojishusha hapo ndo anakuwa kama mbogo. Natafuta njia nyingine ya kuendana nae....Mmh...mbaya sana hiyo. Achana na hiyo style...jishushe myazungumze..
Na kweli,hapo umesema mamii.Ulikuwa segerea kumbe..poleeee.
Aachane na hayo ya kumkomoa, amfuate wazungumze uso kwa uso. Kwa watu wenye mahusiano yenye dira, ikiwa hivyo itakuaje wakioana??!
Yeeessss. Nimekubali sana hii comment.Usijipendekeze sana mwaya fanya anachofanya
Nawaza tu hapa;
Ikitokea kwangu naweza kuhisi nasubiri meli katika uwanja wa ndege.
Hapo naweza kukaa kimya na kuendelea na maisha yangu, pengine mbele ya safari nitapata meli bandarini..
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Jaribu kutumia Simenti ya Nyati
Kila navyojishusha hapo ndo anakuwa kama mbogo. Natafuta njia nyingine ya kuendana nae....
Na kweli,hapo umesema mamii.