Hahahahaha Kadushik !!!! anamitandao yote na tiGo anatumia
Shemejio huyo! Juzi alikuja amejipaka ina miguuni na kiunoni kawaka chata ya Masa.......ana manukato sijui kama jini mahaba kama yapo! Full music na kujiexpress mpwa nimerudia kambi rasmi
Ndio maana Masa anaogopa kumleta hapa, huenda watu mlishampitia huyo shori, kaaazi kwelikweli!!!!
Teh teh teh umeramba karata dume mpwa duh mate yamenidondoka watoto wa kizenji wazuri sana nywele ndeeefu za kuteleza manukato kwao ndo jadi mwehee mpwa hapo hawa wa Bara utawasahau tu. Nilijua tu chama cha kujiexpress huwezi hama jumla alafu watoto wa kizenj wanapenda sana mambo yetu haya.
Mpwa bara naheshimu Tanga, lakini wengine sijui Iringa ama Mbeya hata kula koni wanaona dhambi hahahahahahaah.......wanawake wa bara waende Zanzibar kujifua kimapenzi
Ndio maana Masa anaogopa kumleta hapa, huenda watu mlishampitia huyo shori, kaaazi kwelikweli!!!!
ukishamweka ndani huyo atakubadilikia tu!Katika pilika pilika zangu za kimapenzi nimejikuta nimenaswa na penzi la mtoto wa Kizanzibar. Ni msomi anafanya shahada ya pili kwenye mambo ya Finance, nina maana ameenda shule! Anatoka familia yenye maadili. Ni mrembo. Mapenzi ni mwake, hakuna nilichokosa mara zote nilizokutana naye mechi zimekuwa zikiisha kwa suluhu na hakuna anayehitaji penalti wala msaada wa refarii.
Kuna tatizo moja, yeye ni muislam na mimi ni mkristo...tumejadili hili...anadai yeye haina shida. Kiti moto atakuwa ananipikia na hata kuoka. Nilimweleza siwezi kuacha pombe, yeye hajawahi kunywa ila akiwa na mimi namlazimisha walau sparkling wine robo glass, maana macho yake yanaita, chuchu embe tango, tiGo imo ya kutosha kwa kweli ni mrembo. Ukiweka na kiswahili chake cha Kizanzibar Masa nazimia. Nimemuonya asije JF kuna wakorofi.....!
Mabibi na mabwana hii imekaaje? hasa kwenye suala la dini...nisingependa abadili wala mimi nibadili. Sasa tukipata mtoto (Morgan Tsvangirai)
Malezi yake yatakuwaje? Huyu Mzanzibar tunaendana sana na hili la mahusiano yetu bila sha tutazidisha dumisha muungano, ule ufa tutauziba.
Any advise wakubwa.....
NB: Kibunango kuanzia leo mimi shemejio!
Hahahahahahahah du!! Unasema ukweli mkuu.Hahahaha hawa wa bara mpwa mimi nilipo kuwa vekesheni ulimi tu nilinyimwa licha ya kununua mswaki na colgate kubwa pigwa mswaki wee na yeye akapiga lakini alinichomolea alisema anaona kinyaa.
Hahahaha hapana hata JF haijui nimwambia awe anachungulia michuzi na global publishers! huwezi jua lakini si unajua never trust a woman!
Nitamwambia awe jukwaa la siasa tu...kwengine not reachable
Suala la kubeba jumla wala sitaki gusia bado mapema nataka nimdate for at least 10 years!
Yeah ndo uzuri wenyewe huo una mega hata miaka 15 ndo unatangaza ndoa sio mmekutana miezi 3 au 6 basi unakuwa umeridhika na kumweka ndani kwa mahurusi na vigelegele na vifijo anakaa mwezi anaanza kuharibu. Mpwa mega kwanza nawajua sana watoto wa kizenj wamoto moto sana.
Mauno hayo usiseme sisi wengine tunajifanya nice n slow hahahahah na cope lakini!
Mkuu lakini jitahidi kumegea mbali na maskani maana iwa wanapiga kelele sana za mahaba wkt wa kumega hao. Usije ukajaza watu dirishani kula chabo ya bure.
hahahahaπππAsante kwa ushauri nahisi kuna washikaji hapa ni makozi men wazuri....nitakuwa makini!