Nimekamatika Jamani

Muombe Mungu
 
Babylove hujamaliza kazi? Lakini naona huyu alizima sana na mpwa Masa mmh!
 
Massa kweli ulikuwa umewekwa kinyumba na mzenji, hujatoka nje hadi leo ndo umeonekana ukumbini, i can imagine ilikuwa full express yourself. Halafu nimecheka eti unamdate 10 years, sas wasiwasi wa dini wa nini, endelea kmdate ikifika nine years mtakua mmeshaamua dini gani mnataka.
 
Thank you.... kumbuka shes 25 now kwa ushauri wako baada ya miaka 9 atakuwa 34 umri mzuri wa kufanya maamuzi mazito na magumu....Carmel week end hii vipi?
 
Hongera sana Mkuu kwa kuwa na furaha tele kutokana na mapenzi yenu ya dhati na huyo binti. Naona saa zote unatabasamu la nguvu kwa furaha iliyokujaa kutokana na kuwa na huyo binti na pia kutoamini bahati yako ya mtende. Usimwache kabisa huyo binti ni adimu mno kupata mwanamke uliyempenda kiasi hicho. Na mambo ya dini inaelekea mmeshakubaliana. Watoto mtaamua hapo baadaye mkijaliwa lakini sidhani kama litakuwa tatizo kubwa sana. Kila la heri Mkuu.
 
Thank you.... kumbuka shes 25 now kwa ushauri wako baada ya miaka 9 atakuwa 34 umri mzuri wa kufanya maamuzi mazito na magumu....Carmel week end hii vipi?

Ukimdate for 10 yrs atakuwa 34 thenk how old will u be? hautakuwa umeathrika na kisukari ukashindwa hata kuzaa au unafanya mazoezi?
 
Asante Kamanda! Unaweza kuwa baba upande wa mume harusi in 10 years, tuombeane heri. Ushanifahamu?
 
Ukimdate for 10 yrs atakuwa 34 thenk how old will u be? hautakuwa umeathrika na kisukari ukashindwa hata kuzaa au unafanya mazoezi?

Tobe honest am on early thirties, baada ya miaka 10 nitakuwa early 40s, si unajua in men life starts at 40. Nakimbia 12 Km mara 3 in a week kujiweka fit!
 
Tobe honest am on early thirties, baada ya miaka 10 nitakuwa early 40s, si unajua in men life starts at 40. Nakimbia 12 Km mara 3 in a week kujiweka fit!

Safi sana, nilifikiri unapenda kuwa na kitambi kama Fidel80 na kikubwa kama cha Burn.
 
Honger home B...e bwana mbona zali,kila la heri mwana.Kuhusu Dini kuwa tofauti sioni kama ni tatizo sana,kama wazee wake watamkatalia wewe umempenda dawa yao ni kumvimbisha TUMBO tu huyo binti yao...Pa1
 
Nimekusoma Home boy...lifafanyiwa kazi hili! asante sana wabezya Ngosha Kugema!
 
Kiongozi kila la heri, Zenji ndo kwenyewe. Hapo kwenye dini nadhani with time mtakata shauri, Ni vizuri mkawa mnashiriki vyote kwa pamoja: Mapenzi, dini etc
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=edFCsSsdwH0"]http://www.youtube.com/watch?v=edFCsSsdwH0[/ame]
 
ukishamweka ndani huyo atakubadilikia tu!

...bora umewahi kusema, nami nilitaka kumwambia same thing,
Ukishajifunga ile pingu ya maisha 'utasilimu' mwenyewe!...
acha mchezo na 'chatu'... eti amekuhalalishia TiGo, na nguruwe atakupikia...

Subiri umezwe mzima mzima!
Mapenzi si upofu, ni kuchagua tu kutoangalia.
(...BJ keshabwagwa maskini...🙁)
 
Shauri plse mpwa!
 
Mkuu Mbu, huenda ndo yeye?🙄
 
Mpwa bara naheshimu Tanga, lakini wengine sijui Iringa ama Mbeya hata kula koni wanaona dhambi hahahahahahaah.......wanawake wa bara waende Zanzibar kujifua kimapenzi

... wewe yaelekea hujafika Singida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…