Binti kuolewa na kafiri marufuku. Labda weye mwanaume uamue kusilimu. Naye binti akiweka nta masikioni na kuamua kuolewa pasi na radhi ya wazazi ajue anayatafuta makubwa. Hivyo mfikirie kwa makini msijetulaumu mbele ya safari! Miye nshasema hivo!
Yakhe suala la kubadili na kuslimu lipo sasa tukijashindwana mbele ya safari itakuwaje?

Masanilo angania utashotiwa, mi simo.Wewe kaka unaonekana ujatulia wewe.Nimekusoma unavyoandika hapa inaonekana unataka kumchezea tu mtoto wa watu.Bado ujana unakusumbua
Wewe kaka unaonekana ujatulia wewe.Nimekusoma unavyoandika hapa inaonekana unataka kumchezea tu mtoto wa watu.Bado ujana unakusumbua
I concur with you!!Mzee lazima upime oil, mafuta ya Engine, Break na Tyre pressure kabla hujaanza safari!
msaidie tu afanye check "C"
Mheshimiwa unataka kubadili dini kwa sababu ya penzi? Hapo siwezi kukushauri ufanye hivyo maana kama ulivyosema mkija kushindwana mbele ya safari ndio mwanzo wa kuanza kujuta.
Mie mzanzibari wangu anajua nishaweka wazi dini siwezi kubadili na yeye halazimishwi kubadilisha dini uzuri mwingine ni kuwa baba yake yuko moderate ila tatizo liko kwa wapambe nuksi (mashangazi na wavimba macho wengine).

Masanilo ni Mbaba sio mkaka nearly to MZEE!
Wewe kaka unaonekana ujatulia wewe.Nimekusoma unavyoandika hapa inaonekana unataka kumchezea tu mtoto wa watu.Bado ujana unakusumbua
Hahahaha harudi mtu huku nahamasisha CUF wakubali Muafaka! hahahahahah
Ustaadhi Masa