Mkuu
Nkobe ukisoma vizuri kwenye post yangu nimeonesha nahitaji kufanya kazi na mtu ili kutoka kwake nipate mtaji wa kusimama tena, its the only option I think I currently have, nimejaribu altenative ya kukopa lakini its just not working, (labda mnipe mawazo zaidi wakuu, ndiyo maana nimeleta mada hapa). Costs nyingi nilishazi-cut kitambo tu baada ya kuona mambo hayaendi kwa jinsi yalivyokuwa yanatakiwa yaende.