Nimekata tamaa sana, nimefanya makosa yanayopelekea nikose furaha

Nimekata tamaa sana, nimefanya makosa yanayopelekea nikose furaha

Kama haujadhuru uhai au kudhulumu haki ya mtu wala usiwe na wasiwasi, hamna kosa kubwa lisilo sameheka.
 
Niko lonely sana, nahitaji ushauri wa jamii. Sina msaada kabisa, sina washauri hasa kisaikolojia

Kuna makosa mengi sana nimekosea yamepelekea nikose furaha ya maisha kabisa.

Matatizo yako yamekaa wapi hapa

@ Mahusiano
@ Uchumi
@ Familia kiujumla
@ Kazi .
@ Afya ya Mwili na AKILI

Ungeweza kujibu hata kwa uchache tungejua tukupe ushauri kwa namna gani. na nini urekebishe.
 
Niko lonely sana, nahitaji ushauri wa jamii. Sina msaada kabisa, sina washauri hasa kisaikolojia

Kuna makosa mengi sana nimekosea yamepelekea nikose furaha ya maisha kabisa.
Pole sana. Ujauzito huo we lea tuu kila mtoto huja na sahani yake.
 
Niko lonely sana, nahitaji ushauri wa jamii. Sina msaada kabisa, sina washauri hasa kisaikolojia

Kuna makosa mengi sana nimekosea yamepelekea nikose furaha ya maisha kabisa.
Yatapita
 
Kama unaamini Mungu yuko kwa nini ukose furaha?
Hakuna asiyekosea hapa duniani! Kama makosa hayo hayasahihishiki kibinadamu mwangalie Mungu awezaye kukutengeneza upya!
Kama bado anakupa pumzi amini anakuwazia mema hata kama umekosea kiasi gani!
Usikubali kukaa lonely sahau yaliyopita anza upya leo!
 
Max tunaomba forum ya psychotherapy yenye maximum anonymity watu wawe huru kujiexpress bila hofu
 
Umefanya kosa gani kubwa mpaka ushindwe kutubu, kujisamehe na ukose furaha mkuu?

Mimi mwenzako wiki kadhaa nyuma nilipiga mshindo wa kama 4M Tsh, kwenye mishe zangu, basi nikapotea kabisa home wiki nzima, Bata za kutosha, pombe za kuzima kuja kushtuka Nina mia tatu na tissue mfukoni, nilihisi kufa na kukata tamaa ya maisha nikarudi nyumbani na kujifungia wiki nzima pasi hata na kutoka nje , ona leo nimejisamehe nimepata pesa kidogo najipooza hapa bar mtaani na nina furaha telee.

Usijichukie bwana, maisha ni zawadi tumepewa na Mungu furahi kila unapopata nafasi.
 
Jamani tuwe makini sana na vitu kama hivi,
Unaweza kujikuta unaingia kwenye matatizo bila kupenda na ndio shida ya watanzania wengi na inatuponza sana.
Unakuta mtu yupo seriously kabisa anasoma comment yangu badala andike ya kwake 😅
 
Haya mambo watu huwa wanaandika insta au fb huko ambao watu hawajielimika ila huku kuna watu wenye elimu zao na hela zao usiwe ka ndezi
 
Jamani tuwe makini sana na vitu kama hivi,
Unaweza kujikuta unaingia kwenye matatizo bila kupenda na ndio shida ya watanzania wengi na inatuponza sana.
Unakuta mtu yupo seriously kabisa anasoma comment yangu badala andike ya kwake [emoji28]
Acha umama... pimbi wewe
 
Back
Top Bottom