Nimekata tamaa ya maisha

Nimekata tamaa ya maisha

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,130
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.

Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
 
Pole Sana ndungu

Mtangulize Mungu kwanza na inapaswa uwe mnyenyekevu katika ndoa Yako

Nimekufatilia nimekuja kugundua tatizo lako tangu ujue mume wako anachepuka hujawahi kuwa sawa tena maana naona umeanzisha nyuzi kama 10+ kuhusu hio ishu tu

Sio kwako tu nyumba nyingi Zina matatizo Kila mtu akielezea unaweza kujiona una afadhali

Kuna dada kipindi alikua ananiambia mume wake kamchoka kiasi kwamba akitoka kuchepuka anarudi nyumbani kumsimulia

Kua mvumilivu hauko peke Yako usijitoe uhai Kwa ajili ya mtu mlikutana ukubwani

Kua huru ongea na watu hata huku if watu tunaweza kua msaada, maisha ni zawadi unayopewa mara Moja, usijihukumu Wala kujikatili

Focus na watoto wako Kwa muda kwanza, jiweke karibu na Mungu alafu baada ya kama miaka miwili utakumbuka hiki kipindi utajishangaa Sana

Be strong,
Never give up, life is hard but if you end it early you never get to the treasures that are hidden along the way.
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
Pole , sana Ila usifikie maamuzi hayo ya kujiua .

Sisi ni ndugu zako bado tunakupenda sana ikiwezekana funguka vizuri ili tuone Kama tunaweza kusaidiana Inshallah.
 
Nini shida mamie, elezea maswahibu yako itakusaidia sana kupunguza msongo wa mawazo ulionao lakini pia jitahidi sana kukabiliana na mawazo sababu yanamuathiri mtoto aliyepo tumboni, jikaze jifungue salama utashangaa kila kitu kinabadilika
 
Write your reply...unakula unashiba? Watoto wako wanakula wanashiba? Je mahitaji ya msingi unapata? Kama vyote unapata na ndoa tu tatizo basi huna sababu ya kujiua kisa mapenzi na mtu uliekutana ukubwani tena mwanaume kama mimi ambae asili yetu ni kua na mwanamke zaid ya mmoja.pia kama anakutesa na anatishi uhai wako basi ni bora muachane kisheria kila mtu awe salama na huru ila sio kujiua
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
Njoo pm...
Sina msaada direct ila nina directiion ya kukufungua
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
Yaani ujiuwe kwasababu ya ugumu wa maisha ? Kuna watu hawana migu wala mikono na wanaishi. Kuliko kujiuwa sibora ukae barabarani ukiomba msaada au ukitafuta kibaruwa.
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
Samehe yote kisha endelea na maisha mengine. Ujumbe huu hapa.
 
Attachments

  • VID-20250116-WA0021.mp4
    1.5 MB
Pole Sana ndungu

Mtangulize Mungu kwanza na inapaswa uwe mnyenyekevu katika ndoa Yako

Nimekufatilia nimekuja kugundua tatizo lako tangu ujue mume wako anachepuka hujawahi kuwa sawa tena maana naona umeanzisha nyuzi kama 10+ kuhusu hio ishu tu

Sio kwako tu nyumba nyingi Zina matatizo Kila mtu akielezea unaweza kujiona una afadhali

Kuna dada kipindi alikua ananiambia mume wake kamchoka kiasi kwamba akitoka kuchepuka anarudi nyumbani kumsimulia

Kua mvumilivu hauko peke Yako usijitoe uhai Kwa ajili ya mtu mlikutana ukubwani

Kua huru ongea na watu hata huku if watu tunaweza kua msaada, maisha ni zawadi unayopewa mara Moja, usijihukumu Wala kujikatili

Focus na watoto wako Kwa muda kwanza, jiweke karibu na Mungu alafu baada ya kama miaka miwili utakumbuka hiki kipindi utajishangaa Sana

Be strong,
Never give up, life is hard but if you end it early you never get to the treasures that are hidden along the way.
Asante
 
Pole sana mkuu, mimi nakushauri utafute mtaalamu wa ushauri nasaha au akili akusaidie hautatoka mtupu mamii. Sababu watu wengi wanaojiua huwa wanasemaga kabla hawajajiua kweli. This is a cry for help kwa wale ambao wanajua. Huyu mtu kashaanza ku contemplate death, asipopata msaada ataendelea kureason why death is better for her. Tafuta msaada kwa wataalam zaidi au share na ndugu zako wa karibu waambie unahitaji msaada wa daktari wakusaidie, Pole sana wanaume wanajua kuvuruga sana.
 
Anaetaka kujiua huwa anatangaza?
Moja ya kitu ambacho haukijui ni iki, Kwanza mpaka mtu kukamirisha tendo la kujiua ujue hapo ameshawaza kufanya hivyo sio chini ya mara tatu..
Yani kuna magumu yanamfika anafikie kusema kwa haya Bora NIFE then anakaza Roho anasonga na maisha
Sasa Shetani akishakufikisha hapa Nguvu yake inazid kuwa KUBWA na hata Jambo zuri ukifanyiwa wewe utalipokea kwa Mlango Hasi na utawaza tena Yani hata huyu Sasa kuna aja gani ya kuendelea kuishi??? At last hata Kuku anaweza akakukwaza na ukaenda Kujimaliza... Mf umeangaika Sana kupata japo Kaunga upike ule na watoto hapo haujui baadae yako then anakuja umeweka huo Unga sehemu salama kabisa unashangaa Kuku hata alipotokea tena na hasira zako unamfukuza kapita kwenye mfuko uliowekea Unga mguu umenasa anajaribu KUJINASUA UNGA WOTE MWAAAAAA...
 
Pole sanaaaaa

Ndio umepitia mengi, kwa sasa mfikirie mtoto tumbo awe salama na uzae salama na uepuke mengi Afya yako baada ya kujifungua yanayo weza kutokea pale mwanamke akijifungua mtoto.

Ukizaa Inshallah, ndio utafanya maamuzi. Kwa sasa kuwa kama mjinga fulani huku umetulia na unapanya mipango yako ya mbeleni.

Yaliyo tokea yametokea, jali Afya yako zaidi na watoto kwa sasa.
 
Kama unaweza ondoka nenda hata kwa rafiki au ndugu ukae siku mbili tatu, kubadilisha mazingira kusaidia sana.

Hapo umekata tamaa ya maisha kisa hayo, je kweli mtu haukujua naye ndio aje akukatishe maisha yako kweli!!! Fikiria tu na mengine uamke.

Kama una mtu nzima kwako kamsumulie yoteeee yanayo kusumbua itakusaidia sana utulivu asilimia kubwa.
 
Mtu ambae ningeweza kumwambia ni mama yangu, nae yupo kitandani anapigania Afya yake
 
Kama unaweza ondoka nenda hata kwa rafiki au ndugu ukae siku mbili tatu, kubadilisha mazingira kusaidia sana.

Hapo umekata tamaa ya maisha kisa hayo, je kweli mtu haukujua naye ndio aje akukatishe maisha yako kweli!!! Fikiria tu na mengine uamke.

Kama una mtu nzima kwako kamsumulie yoteeee yanayo kusumbua itakusaidia sana utulivu asilimia kubwa.
Naenda kwa rafiki nan na tumbo, na mtoto wa 3yrs, na mwingine miaka 10 anasoma
 
Back
Top Bottom