Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
Pole , sana Ila usifikie maamuzi hayo ya kujiua .Nimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
Njoo pm...Nimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
Yaani ujiuwe kwasababu ya ugumu wa maisha ? Kuna watu hawana migu wala mikono na wanaishi. Kuliko kujiuwa sibora ukae barabarani ukiomba msaada au ukitafuta kibaruwa.Nimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
Samehe yote kisha endelea na maisha mengine. Ujumbe huu hapa.Nimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
AsantePole Sana ndungu
Mtangulize Mungu kwanza na inapaswa uwe mnyenyekevu katika ndoa Yako
Nimekufatilia nimekuja kugundua tatizo lako tangu ujue mume wako anachepuka hujawahi kuwa sawa tena maana naona umeanzisha nyuzi kama 10+ kuhusu hio ishu tu
Sio kwako tu nyumba nyingi Zina matatizo Kila mtu akielezea unaweza kujiona una afadhali
Kuna dada kipindi alikua ananiambia mume wake kamchoka kiasi kwamba akitoka kuchepuka anarudi nyumbani kumsimulia
Kua mvumilivu hauko peke Yako usijitoe uhai Kwa ajili ya mtu mlikutana ukubwani
Kua huru ongea na watu hata huku if watu tunaweza kua msaada, maisha ni zawadi unayopewa mara Moja, usijihukumu Wala kujikatili
Focus na watoto wako Kwa muda kwanza, jiweke karibu na Mungu alafu baada ya kama miaka miwili utakumbuka hiki kipindi utajishangaa Sana
Be strong,
Never give up, life is hard but if you end it early you never get to the treasures that are hidden along the way.
Moja ya kitu ambacho haukijui ni iki, Kwanza mpaka mtu kukamirisha tendo la kujiua ujue hapo ameshawaza kufanya hivyo sio chini ya mara tatu..Anaetaka kujiua huwa anatangaza?
Mtu ambae ningeweza kumwambia ni mama yangu, nae yupo kitandani anapigania Afya yakeKama unaweza ondoka nenda hata kwa rafiki au ndugu ukae siku mbili tatu, kubadilisha mazingira kusaidia sana.
Hapo umekata tamaa ya maisha kisa hayo, je kweli mtu haukujua naye ndio aje akukatishe maisha yako kweli!!! Fikiria tu na mengine uamke.
Kama una mtu nzima kwako kamsumulie yoteeee yanayo kusumbua itakusaidia sana utulivu asilimia kubwa.
Naenda kwa rafiki nan na tumbo, na mtoto wa 3yrs, na mwingine miaka 10 anasomaKama unaweza ondoka nenda hata kwa rafiki au ndugu ukae siku mbili tatu, kubadilisha mazingira kusaidia sana.