PoleNimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Je unaendeleaje?Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Asante sana nilijifungua salama nilipambana mpaka lastweek niligundua kumbe mr anatoka na jiran yangu ndio kunitesa siku zote hizoJe unaendeleaje?
Mara ya mwisho umeonekana humu Ijumaa 09:40 pm.
Natamani kusikia Mungu alikufanyia wepesi, ulijifingua salama, na nyakati ngumu zimepita
Pole sanaNimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Piga nyama chini Bibie,upo Dunia ipi weye?Asante sana nilijifungua salama nilipambana mpaka lastweek niligundua kumbe mr anatoka na jiran yangu ndio kunitesa siku zote hizo
Usifanye hivyo mkuu. Yatapita usijiue... Kumbuka si wewe pekee sema smiles zinaficha mengi.Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Kuna mama amejiua pale Kilimanjaro,yeye pamoja na wanae mwezi uliopita,...Rest in Peace dada ulipambanaNimekata tamaa ndoa inatesa sana.