Nimekataliwa kisa ni mwanachuo

Awee!!, Mkuu chaputa hatuna mwanachama wa hivi huyu abaki tu kwenye udomo zege chama chetu hatumtaki. [emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787]mkuuuu taratibu basii, wanachuo uongo ni sehemu ya CAT
 
Puchu kaka zina madhara sasa
 
Ahahaha ila we jamaaa, sema nini alijirudi mwenyewe mbonaa sahivi nampelekea gwaridee zamu yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro as if tushawahi gombabia colony moja
 
Yuko sawa kabisa. Ni heri ukaolewa na mwanamme ambae hajasoma lakini anayajuwa maisha, na kikubwa zaidi ya yote ni "awe mchamungu, mwenyi hofu na Mungu na alieturia"
 
Yuko sawa kabisa. Ni heri ukaolewa na mwanamme ambae hajasoma lakini anayajuwa maisha, na kikubwa zaidi ya yote ni "awe mchamungu, mwenyi hofu na Mungu na alieturia"
Mhhhh sasa kutuliaa siinategemea na uliyempata yukojee
 
Aisee dogo we na mapenzi ni pipa na mfuniko.
Ni muda wako wa MMU huu, ukimaliza karibu jukwaa la ajira & tenda [emoji16][emoji16]
Ahahaha the right thing at the right time, asante naomba niwekee Siti huko
 
Hajapenda kukueleza ukweli tu.Yafuatayo ni mambo yawezayo kuwa sababu;
-anaogopa kuwa na mahusiano ya mapenzi na mwanafunzi atafungwa,
-anakupigia hesabu anaona hauna pesa,
-anaye wa kwake tayari.
ANGALIZO.
Yote niliyoandika ni utani tu.Kaza uzi akuone upo siriazi unachukua kimwana.Umuoe na si wa ku-buy buy time tu.
 
Asante sana kaka, umesema vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…