Nimekataliwa kisa ni mwanachuo

kumekuwa na mazoea kuwa, wanachuo wengi wa kiume hupenda hit and run...
sasa kwa mdada anayehitaji Ndoa hawezi kuwaweka kwenye hesabu
 
kumekuwa na mazoea kuwa, wanachuo wengi wa kiume hupenda hit and run...
sasa kwa mdada anayehitaji Ndoa hawezi kuwaweka kwenye hesabu
Ni kweli kaka lakini mie sio mtu wa hivo naheshimu sana Hawa watu nasipendi mtoto wa watu ahuzunike sababu yangu lakin ndo vile ashalishwa sumu kuwa wanachuo ni play Boyz
 
Kwao geti kali, halafu kaishia std 7
Bila shaka ni beki wa pembeni.
 
Mkuu soma.. Japo elimu yenyewe miyeyusho ila soma.

Achana na haya mambo...
 
Ndio mnakutana sasa chupa na mfuniko, make nanyie vibrazamen vya chuo huwa mnajikuta sana, ukishanunua sabufa ya kichina shingshong, ukanunua na pazia, na jagi la tokyo unajiona maisha umeyapatiiiiia......
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hilo jagi la tokyo ndo likoje??
 
Unaongea ukweli unazani utampata demu labda aliyejikatia tamaa.ungemwambia wewe ni afisa mikopo katika kampuni ya Ungungu Agrovet saa hizi ungekuwa unatafuta cha pili na JASHO jingi bila feni
 
Unaongea ukweli unazani utampata demu labda aliyejikatia tamaa.ungemwambia wewe ni afisa mikopo katika kampuni ya Ungungu Agrovet saa hizi ungekuwa unatafuta cha pili na JASHO jingi bila feni
Nime take note kumbe bila uongo Hawa ndugu zetu hawanasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ