Nimekataliwa kupunguziwa bei jiko la gesi (40000-38000)

kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2019
Posts
416
Reaction score
405
Jiko la gesi complete, yaani kweli uchumi si mzuri, nimeingia mjini leo nina elfu 38000 pungufu shilingi 2000 sehemu 4 kote wamekataa kunipunguzia elfu 2000 lengo nifanye nauli ya kurudi maskani lakini ilishindikana.

Wafanyabiashara wakati mwingine mtuhurumie tu wengine tunabeba zege tunajipiga ndo tunapata hiyo pesa.
 
Tumia hela hio ikuzoee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…