Nimekisoma kitabu mwaya....

Nimekisoma kitabu mwaya....

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
3,051
Reaction score
461
Kitabu changu kina kurasa moja tu, wapenzi wake wote hukipenda milele, hiki kitabu ni bestseller wa mwaka huu, jamani nani kasoma hiki kitabu? Lazima ukipende ukigusa kukisoma.......Hutamani kila ukisomapo.....na picha za kitabu nilichosoma nazileta kwenu............
 
Hizi ndo picz za kijitabu changu jamani.....
 
Nimeshindwa ku upload wajamen nipeni kale kanaitwa helppppppppppppp
 
Ni kitabu mulua kwa watu mulua jamani, hiki kitabu always ni bestseller wa mwaka, na wandishi wake wala huitaji kwenda shule sana, haina umahiri kukiandika, waweza tumia sekunde moja kukiandika....ni kitabu si kijarida, husomwa na kila mtu, marais, mawaziri, wabunge na wote kwa ujumla, masikini na tajiri pia hukisoma, husomwa na kila dini...mhhhhhhhh kitabu changu jamani....
 
Mkuu nimetoa macho ka mjusi nazisubiri hizo picha

nimeshindwa ku upload mkuu kila nikfanya naona ngoma inagoma mpaka mwaka mpya unataka kunikuta hahahahha....
 
insertimage.png
.....gonga hiki kialama kipo chini ya quick reply.....then itajipa
 
insertimage.png
.....gonga hiki kialama kipo chini ya quick reply.....then itajipa

Preta kote huko nimejaribu, ziko kwa desktop yangu so sijui how na sio moja ni nyingi mama, ni kama 36,4MB so nimejaribu ku attach napo inasema ni too kubwa kuingia nikasema makubwa haya tena, sijui nifanyaje, kila njia inagoma mama kuwekwa, nisaidie kama unajua njia nyingine kuingiza hii kitu...
 
Hapo kwenye kijani utata mkuu.. Ha ha ha..

mkuu kila njia ngoma inagoam, nimejaribu kuibana(compress) ili niweke sawasawa lakini wapi au mie sio mtaalam sana wa hii kitu jamani?
 
Preta kote huko nimejaribu, ziko kwa desktop yangu so sijui how na sio moja ni nyingi mama, ni kama 36,4MB so nimejaribu ku attach napo inasema ni too kubwa kuingia nikasema makubwa haya tena, sijui nifanyaje, kila njia inagoma mama kuwekwa, nisaidie kama unajua njia nyingine kuingiza hii kitu...

MH ITAKUA KWELI KUBWA:embarrassed:😱:embarrassed::redfaces::teeth: :A S-alert1:
 
Tumeibiwa hapa i got these feelings sorry..........
 
Tumeibiwa hapa i got these feelings sorry..........
Mkuu nikuibie nini sasa? Nimejaribu nimeshindwa kuingiza sasa wizi au UFISADI unatoka wapi hapa man,....nambie how tu upload mzee then will do...
 
MH ITAKUA KWELI KUBWA:embarrassed:😱:embarrassed::redfaces::teeth: :A S-alert1:

mkuu wewe noma, nataka sana kuweka hii kitu lkn how? kila kidude nimetouch lkn hamna, watu mnisaidie jamani...
 
jamani IT experts msaidieni mwenzetu aweze kuingiza. Ana hamu sana ya kuwapa uhondo
 
Back
Top Bottom