Nimekoma kubishana na daktari daaa.

Nimekoma kubishana na daktari daaa.

emmanuel mhecha

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
933
Reaction score
543
Wandugu habarin,Leo nilikuwa natolewa jino mbili,sasa ikawa hivi dokta anasema tuzibe tu mi nikakataa nikasema toa yote, shughuli ilipoisha LA kwanza,ikabidi tuishie hapohapo kwenye moja.
 
Ivi ulizan kung'oa jino ni kama kujamba .lazima unyooke
 
Back
Top Bottom