Nimekoma kutafuta mademu mitandaon

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyo someka hapo juu

Nilikuwa ni mbabe wa kutafuta mademu mitandaon lakin sasa nimekoma

Haata baadh ya watu waliokuwa wakinishaur kuwa niachane na wanawake wa mitandaon lakin niliwapuuza sikuwasikia

Sasa leo niko hapa dar maeneo ya sinza si nikakutana na demu mmoja ambaye tulikuwa tumepanga kuonana toka jana

Demu huyo nilijuana naye huko inster, kwa inster huwa anapost picha kali kinoma yaan ni mkali balaa lakin kumbe ni tofaut kabisa na jinsi alivyo

Sasa si leo nimekutana naye ebhana ee yaan hata sijamuelewa kabisa sijui ni mbibi sijui ni mzee yaan hata hasomek aisee

Kwanza ana rangi mbili kama piliton alikuwa kavaa kitop aisee ana kwapa jeus kinoma mazee

Nimekoma kabisa sitarudua tena kutafuta mademu mitandaon

LONDON BABY
 
Hata yeye yawezekana anajuta kukutana face to face nawewe maana yawezekana alivyokudhania sivyo hivyo ulivyo, kwahiyo hapo ngoma droo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…