Nimekoma kuwapigia wanawake miluzi ninapoendesha Baiskeli

Nimekoma kuwapigia wanawake miluzi ninapoendesha Baiskeli

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuka Wanajamvi,

Baada ya umbea wa COVID-19 kwenye kijiwe chetu. Nikachukua baiskeli yangu kuelekea ghetto.

Njiani kwa mbele kulikuwa na mwanamke nikampigia miluzi na sauti za busu ili anipishe.

Alipogeuka kwa mshangao kumbe mama mkwe wangu

Yani nilinyonga faster kuelekea upande wa akina lemaaa na lauuu

Kwaanzia siku iyo nimekoma natumia kengele.
 
Yuko tz huyo saivi wazungu Wana self lockdown yeye vijiwe kavitolea wapi huko uswizi......labda uswizi ya vijijini.
 
Kumekuwa na Ongezeko kubwa la Wana Jf huko Marekani ya vijijini Tangu kuachiwa kwa Ngoma ya Rostam
 
Back
Top Bottom