Nimekoma kwa niliyotenda mwaka 2011

dijly4

Member
Joined
Sep 11, 2011
Posts
26
Reaction score
9
Nilikoswakoswa kufumaniwa na mama mkwe nikiwa na demu mwingine na siyo binti yake. Nimekoma japo binti yake aniridhishi. Wadau niambieni nifanyeje 2012?
 
hahahahaha "JF never boring"- The Boss!

Mwanangu hebu tule kwanza huu usiku wa shangwe, tutakushughulikia kesho asubuhi.....
 
Wewe ndio huyu huyu hapa chini?

Kama ni wewe USITUCHOSHE!!
 
nilikoswakoswa kufumaniwa na mama mkwe nikiwa na demu mwingine na siyo binti yake. Nimekoma japo binti yake aniridhishi. Wadau niambieni nifanyeje 2012?

wewe atakaekuridhisha 2012 ni dadako mzazi only una pepo la kuridhika ambalo akuna wa jf wa kukusaidia labda dadako ama mwanao wa kike ukome na lile la kuchungulia wenzako wakid do ujaomba msamaha usamaehewe
 
That spouse mother have a strategical purpose to sharin' with you for hide that ridiculous secret! It's just her character to achieve somethin' matter ! Sitoshangaa next year ukarudi na neno nae umemuangukia!
 
Mwambie shemeji ulikoswakoswa kufumaniwa na ama mkwe
kitakachojitokeza ndio kitakuwa elimu kwako
 
That spouse mother have a strategical purpose to sharin' with you for hide that ridiculous secret! It's just her character to achieve somethin' matter ! Sitoshangaa next year ukarudi na neno nae umemuangukia!
Wapi aliposema mama mkwe anamfichia siri?
Amesema kidogo afumaniwe na sio alifumaniwa.
Hata kama thread ni ya kizushi tuwe tunasoma badala ya kukurupuka kujibu.
 
Nilikoswakoswa kufumaniwa na mama mkwe nikiwa na demu mwingine na siyo binti yake. Nimekoma japo binti yake aniridhishi. Wadau niambieni nifanyeje 2012?

mi nadhani 2012 ,uache uzinzi umrudie Muumba wako,
kwa tabia hizo za kurukia rukia wadada utaiongezea serikali gharama za kugharamia ARV.
 
Nilikoswakoswa kufumaniwa na mama mkwe nikiwa na demu mwingine na siyo binti yake. Nimekoma japo binti yake aniridhishi. Wadau niambieni nifanyeje 2012?
ufanyeje?unauliza majibu? Mkwe mkwee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…