Nimekoma sirudiii tenaaa!

KIJAMBO

Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
30
Reaction score
5
Yalinikuta leo,

Nikiwa home nimetulia huku nimefulia mara napokea cm kwa mdada kuwa ananihitaji kwenye mambo ya wakubwa yale, bt akasema atalipia kila ki2,bt poa ingawa moyo wngu ulisita bt shetani akanizidi nguvu bhana, so akanielekeza chumba alifikia, bt kumbe alikosea number ya chumba, daaahh kilichonikuta sasa, si nikagonga mlango kile chumba na ndani kulikuwa na mzee anasubilia goma lake.

Basi mzee akafungua zen akajificha nyuma ya mlango akijua n goma na me nikijua ni goma langu,nilivyoingia bila ya kuangalia nyuma na mzee akanihug mgongoni bt nikahisi naguswa na kitambi chenye mvii, dahhh kugeuka wote tukashtuka na mm nikakimbia bila ya kugeuka na ule mzee jogoo wake alinywea fastaaaaaa,na taarifa nilizopata mzee alisepa akijua kafumaniwa.

Ebwaaana mm nimekoma ni mara ya kwanza na mwisho nimekomaaaa, bt wazee nao walikuwa wapi ujana wao??

Good 9t guyssssssssssss
 
kijambo duh..........??????????????????????????????
 
Mh! hiyo kali ungekutana na baba mkwe wako ama baba ako sijui ingekuwa je?
 
hahahaha camon men,u have made my day!!cheap is always expensive
 

kraaaaaaaaaaaaaaaap
 
Kuona tu username nikaanza kucheka, stori yenyewe umeitunga kutoka kichwani, kwa nini usiombe mods waihamishie kule kwenye jukwaa la utani. Kijambo ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah, kijambo pyuuuuuuuh umechafua hali ya hewa kwenye jukwaa la MMU
 
Ingawa mnaona utani bt iyo ni true story tena ni yamenikuta mwenyewe na c mwengine.........
 
we kijambio!(samahnani kama nimekosea jina lako keyboard yangu inasumbua).umenishangaza kidogo uliosema "ukahisi umeguswa na kitambi chenye mvi" una uzoefu wa kuguswa na vitambi vyenye mvi mpaka ukiguswa bila kuangalia unahisi hadi kitambi kina mvi?????
 
Huyu original username yake sio hiyo
kabla ya last o weka i...
anatuma ujumbe hapa kwa watu....shtuka

Nimecheka kuanzi juu ila kufika hapa nimevunjika mbavu, sjiui ubongo wako the boss unawazaga nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…