Nimekomesha tabia usiku huu

Hujamkomesha mtu unakomeshwa wewe. Wewe unafikiri kwa umezaji wa vitu vikubwa wa hao wadada wa kiswahili unafikiri amesikia kitu? Hao wanawake wa kishwahili wanaingizwa vitu vikubwa hadi vingine vyenye miiba wengine hadi chupa za bia, chezea wanawake wa kishwahi ww utakua hujawajua vizuri. Hapo ukitaka kuwakomesha uhame mbagala tuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu una roho ngumu km adolf hitler.

Task Force12
 
WEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEH!!!

KATOKA CHOONI ANAJIKUNA KWENYE MSTARI WA IKWETA BALAA!!!!!

Mkuu una roho mbaya, wenzako wazungu wanatengeneza virus kwenye computer ili wauze antivirus[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] SASA SI URUDI UKAMKUNE[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
 
MKUU, KWA JINSI ULIVYOANDIKA TU UNAONEKANA KWELI WA KISWAZI.

USWAZI KUNA RAHA NA KARAHA, HALAFU USWAZI WANAWAKE NI WA BEI CHEE KWELI..

KIUFUPI USWAZI KUNAONGOZA KWA MAADILI KUPOROMOKA.
 
Wameolewa?? Au hadi tukusaidie kufikiri mkuu?
 
kaka ondoka kwenye hiyo nyumba huwezi kuishi na waswahili wa aina hiyo
 
Kama umefanya hivyo kweli sio vizuri,kama hupendi hiyo tabia usione tabu kumwambia mtu sina au sipendi kutumia vitu vyangu na mtu sijazowea full stop,hiyo umefanya ni mbaya ebu fikiria angetumia usoni au ingemdhuru mpaka akapoteza maisha sio vizuri mkuu usifanye tena siku nyengine,ipo siku atajua au kuna mtu atakufanyia nna hakika hutopenda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…