Nimekosa chuo naomba ushauri

Nimekosa chuo naomba ushauri

Shida ni ushindani mkubwa vyuo vya serikali lakini kama ungeaply kozi tofaut na MD ungetoboa muhas wana AUDIOLOGY and speech therapy pathology pia Kuna radiology,au pharmacy,,,pia Kuna chuo kama suza na st Francis jipe muda kuaply mwakani ndoto yako isiishie kati then Kuna scholarship za Chinese jaribu kuaply hoping ndoto yako itatimia
 
na mkopo sikupata wazazi wakasema Awana uwezo wa kulipa ada ya private
HESLB wakiona hii wanaficha wapi macho yao? Hawa jamaa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni Mradi wa watu fulani fulani au? Mimi siwaelewi kabisa jamaa huyu ndoto zake ndio zimeshafia hapo atakua bodaboda afie barabarani ndio kwakheri kisa tu eti jamaa wazazi wake sio wanufaika wa TASAF na yeye sio mlemavu na wazazi wake hawajafa wala sio viwete ndio iwe kipimo cha kunyimwa mkopo kweli?
 
Shida ni ushindani mkubwa vyuo vya serikali lakini kama ungeaply kozi tofaut na MD ungetoboa muhas wana AUDIOLOGY and speech therapy pathology pia Kuna radiology,au pharmacy,,,pia Kuna chuo kama suza na st Francis jipe muda kuaply mwakani ndoto yako isiishie kati then Kuna scholarship za Chinese jaribu kuaply hoping ndoto yako itatimia
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu hivi wanalielewa jambo km hili au ndio mpaka uwacheck huduma kwa wateja?
 
Nimepata one ya saba PCB nilikosa vyuo vya serikali nikapata vyuo vya private na mkopo sikupata wazazi wakasema Awana uwezo wa kulipa ada ya private nikuwa na waza niende veta nikajifunze ufundi au nisubiri mwakani ni apply tena
Nenda VETA utanishukuru baadae
 
HESLB wakiona hii wanaficha wapi macho yao? Hawa jamaa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni Mradi wa watu fulani fulani au? Mimi siwaelewi kabisa jamaa huyu ndoto zake ndio zimeshafia hapo atakua bodaboda afie barabarani ndio kwakheri kisa tu eti jamaa wazazi wake sio wanufaika wa TASAF na yeye sio mlemavu na wazazi wake hawajafa wala sio viwete ndio iwe kipimo cha kunyimwa mkopo kweliuna
Shida ya loan board kiuhalisia wanafanya biashara kichaa wanakopesha pesa hazirudi Kwa wakati now Kuna ishu ya wote wapate mikopo that's why ni ngumu kupata asilimia 100 au kupata tu asilimia chache serikali ijitafakari Kun namna waliopata mikop wangezingatiwa kwenye ajira za serikali pesa ya watu irudi na kuwe na data base hata uwe private
 
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Mimi sijawahi kuwaelewa kwa hio hao watoto ambao Bibi zao wamesajiriwa TASAF ndio watazirudisha hizo Pesa wanazokopeshwa au Mimi siwaelewi kabisa wana malengo gani ndio maana nasema ni mradi wa mtu binafsi sio Serikali kajipenyeza tu Serikalini aonekane anafanya kazi ya Serikali what is this? Vijana wenye vigezo vyote vya kupewa mikopo hawapewi mikopo kisa wazazi wao bado wanaishi na hawapo kwenye mfuko wa TASAF na sio walemavu so what is this?
 
Nimepata one ya saba PCB nilikosa vyuo vya serikali nikapata vyuo vya private na mkopo sikupata wazazi wakasema Awana uwezo wa kulipa ada ya private nikuwa na waza niende veta nikajifunze ufundi au nisubiri mwakani ni apply tena
Njoo pm nkushauri jambo kijana
 
Nimepata one ya saba PCB nilikosa vyuo vya serikali nikapata vyuo vya private na mkopo sikupata wazazi wakasema Awana uwezo wa kulipa ada ya private nikuwa na waza niende veta nikajifunze ufundi au nisubiri mwakani ni apply tena
Hili swala linaumiza sana , hii scenarios ilimtokea mdogo wangu nae ilikuwa hivi hivi alikuwa na 1 ya 7 so akakosa vyuo vya serikali na kuchaguliwa chuo Cha private ambacho Ada yake kwa mwaka pamoja na michango mengine inafika zaidi ya million 8 japo yeye alipata ela ya accomodations, ikabidi tumfanyie transfer kutoka chuo Cha private kwenda chuo Cha serikali ila ilibidi course abadilishe maana course ya MD mwaka huu kwa vyuo vya serikali walikuwa wanataka watu wenye 1.6 , sahivi ameshaanza kuingia darasani fresh
 
Taarifa yako hujaiweka sawa sema ulikosa MD, ungeomba programs nyingine ungepata

kwenye vyuo hivyo hivyo vya serikali. Sasa wewe unajua uwezo wa familia yako
alafu unakuwa too selective and by the way hata mwakani ufaulu utakuwa mkubwa zaidi

Kwa hiyo uwe makini na uchague kwa umakini usikose tena, fursa ya maisha haipo kwenye MD tuu
achana na White Coat Syndrome, inawasumbua sana hii nyie freshers
 
Kwa hiyo akapata program gani?
 
achana na White Coat Syndrome, inawasumbua sana hii nyie fresherk

Taarifa yako hujaiweka sawa sema ulikosa MD, ungeomba programs nyingine ungepata

kwenye vyuo hivyo hivyo vya serikali. Sasa wewe unajua uwezo wa familia yako
alafu unakuwa too selective and by the way hata mwakani ufaulu utakuwa mkubwa zaidi

Kwa hiyo uwe makini na uchague kwa umakini usikose tena, fursa ya maisha haipo kwenye MD tuu
achana na White Coat Syndrome, inawasumbua sana hii nyie freshers
Kozi kama md si ku apply kabisa sababu niliona ufaulu wangu ni mdgo na saiz watu wengine wamefaulu niliapply pharmacy, radiology,dental lakini zote nilikosa nikapata st john pharmacy nikitegemea nitapata mkopo napo nikakosa
 
Sawa next time apply pia na Program nyigine ambazo sio za Health Science. Mfano Program za SUA, CONAS UDSM na vyuo vingine.
 
Pole sana kaka hela zote wamepewa akina msuva na samata na mzize
 
Taarifa yako hujaiweka sawa sema ulikosa MD, ungeomba programs nyingine ungepata

kwenye vyuo hivyo hivyo vya serikali. Sasa wewe unajua uwezo wa familia yako
alafu unakuwa too selective and by the way hata mwakani ufaulu utakuwa mkubwa zaidi

Kwa hiyo uwe makini na uchague kwa umakini usikose tena, fursa ya maisha haipo kwenye MD tuu
achana na White Coat Syndrome, inawasumbua sana hii nyie fresh
Kozi kama zipi ninaweza jaribu hapo udsm nzuri na sua?
 
Pitia Prospectus zao ila kun BVM, BSc. Food Science & Technology, BSc. Agronomy, BSc. Microbiology

BSc. Molecular Biology and Biotechnology etc. Ukisoma vizuri ukaelewa na ukafaulu vizuri utakuwa
na impact baade.
 
Back
Top Bottom