JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kuna taarifa ya kuwa Meli ya MV. Victoria imesitisha kufanya safari kwa takribani wiki mbili sasa, hiyo ni baada ya kupata hitilafu kwenye mfumo wa uendeshaji lakini mamlaka inayohusika ya Tanzania Shipping Company Ltd (TASHICO) imekuwa kimya.
Ni kweli kuhusu taarifa hizi? Maana inadaiwa kuna watu wanahaha kupata usafiri wa Mwanza - Bukoba.
Ufafanuzi zaidi soma hapa
~ TASHICO: Ni kweli huduma za Meli ya MV Victoria zimesimama kwa ajili ya service ya kawaida
~ TASHICO: MV. Victoria itaendelea kusimamisha huduma kwa muda wa mwezi mmoja kwajili ya kufanya 'service'
Pia soma
~ Meli ya MV. Victoria (Mwanza) haina crane ya kubebea mizigo zaidi ya miezi miwili, ni hujuma?
~ MSCL: Ni kweli mtambo wa kubebea mizigo wa MV Victoria ulipata hitilafu ya kiufundi