Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nayo hiyo haikuwa bahati yakohabari,
naomba msaada wa mawazo. nimeitwa kwenye usaili lakini nimeshindwa kufika kwasababu ya uzazi (nimejifungua hivi karibuni) hivyo nimeshindwa kusafiri.
kuna kitu ninaweza kufanya, mtu ninayeweza kuongea au ndio imekula kwangu?
Unasema upo ktk likizo ya uzazi means una Kazi yako now? If yes tulia na Kazi yako ulee huyo mtoto ili baadae uendelee na harakati zako as usualhabari,
naomba msaada wa mawazo. nimeitwa kwenye usaili lakini nimeshindwa kufika kwasababu ya uzazi (nimejifungua hivi karibuni) hivyo nimeshindwa kusafiri.
kuna kitu ninaweza kufanya, mtu ninayeweza kuongea naye au ndio imekula kwangu?
Sawa sawa, asante.Achana nayo hiyo haikuwa bahati yako
Sawa sawa. Ni katika kutafuta kipato zaidi tu. Kama usemavyo, wacha niendelee na harakati nyingine.Unasema upo ktk likizo ya uzazi means una Kazi yako now? If yes tulia na Kazi yako ulee huyo mtoto ili baadae uendelee na harakati zako as usual
Asante, nashukuru.Achana na iyo kazi. Hongera kwa kutuletea uncle.
Yeah ni ya serikalini. Imeniuma maana nafungua tu portal naona usaili ni leo.Hakuna kitu utapata kama usaili umesha fanyika
Na hasa kama ya serikali/utumishi...
Kama private nenda kajaribu bahati yako
Sawa sawa asante.Ya Private inawezekana ukapata nafasi tena if you're exceptional talent ila kama ni kawaida tu jipange kwa nafasi nyingine ikitokea.
Ila kama ni serikalini tuseme Salamaleko.
Sawa sawaKazi tayari unayo, mtoto unaye na hope mwanaume pia unaye hivyo tulia kwanza.
Lea mtoto achana na interview. 84 days ndio then waza mambo ya interview.Habari,
Naomba msaada wa mawazo. Nimeitwa kwenye usaili lakini nimeshindwa kufika kwasababu ya uzazi (nimejifungua hivi karibuni) hivyo nimeshindwa kusafiri.
Kuna kitu ninaweza kufanya, mtu ninayeweza kuongea naye au ndio imekula kwangu?
Mh.Ungewaambia baba wa mtoto alipeleke kwenye interview hata ukiwa na dripu ya maji.
Kwani baba watoto wako ameshindwa hata kukodi bajaji ikupeleke?