Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahitaji ngapi?Locationa: Dar es Salaam, Makuburi.
Size ya kitanda: 5*6
Nahitaji kumi,lakin nataka nipate bei kwanza bosiUnahitaji ngapi?
Ndyo,nyeupe mtumba iliyonyooka bosiShuka nyeupe.
Sir Midabwada msaidie kijana chimboNdyo,nyeupe mtumba iliyonyooka bosi
Ilala boma pale nyeupe nyingi mbona alaf bei chee tu? Mm nimetoka hapo makubur mda huu ningekupeleka. Panda gari ufike ilala boma sokoni hapo zipo nyingi sana hizo na bei chee tu mana sokoni hazina Dili zinauzwa chap ili zisichafukeSir Midabwada msaidie kijana chimbo
Uko sawa.Ukikosa kabisa nenda pale karibia na library ya Taifa kwenye duka wanalokata mashuka, kuna majora mazuri kabisa.
ShukraniUkikosa kabisa nenda pale karibia na library ya Taifa kwenye duka wanalokata mashuka, kuna majora mazuri kabisa.
Hizo shuka ilala boma kibao tu. Wauzaji wanaogopa zikichafuka zinashuka bei unauziwa bei yoyote ileUkikosa kabisa nenda pale karibia na library ya Taifa kwenye duka wanalokata mashuka, kuna majora mazuri kabisa.
Asante Kwa ushirikianoIlala boma pale nyeupe nyingi mbona alaf bei chee tu? Mm nimetoka hapo makubur mda huu ningekupeleka. Panda gari ufike ilala boma sokoni hapo zipo nyingi sana hizo na bei chee tu mana sokoni hazina Dili zinauzwa chap ili zisichafuke
Ahsante sana,nadhani muda huu nimechelewa.nitaenda asubuhiIlala boma pale nyeupe nyingi mbona alaf bei chee tu? Mm nimetoka hapo makubur mda huu ningekupeleka. Panda gari ufike ilala boma sokoni hapo zipo nyingi sana hizo na bei chee tu mana sokoni hazina Dili zinauzwa chap ili zisich
Mbaya sanaMashuka yapo mengi alafu makali sana na material yapo poa sana na bei ni kitonga ila nature yetu ya kupenda vitu used ndo mbaya me siuzi vitu vya mtumba