Nimekosa kabisa shuka za mtumba nyeupe

Ukikosa kabisa nenda pale karibia na library ya Taifa kwenye duka wanalokata mashuka, kuna majora mazuri kabisa.
 
Ilala boma pale nyeupe nyingi mbona alaf bei chee tu? Mm nimetoka hapo makubur mda huu ningekupeleka. Panda gari ufike ilala boma sokoni hapo zipo nyingi sana hizo na bei chee tu mana sokoni hazina Dili zinauzwa chap ili zisichafuke
Asante Kwa ushirikiano
 
Ahsan
Ilala boma pale nyeupe nyingi mbona alaf bei chee tu? Mm nimetoka hapo makubur mda huu ningekupeleka. Panda gari ufike ilala boma sokoni hapo zipo nyingi sana hizo na bei chee tu mana sokoni hazina Dili zinauzwa chap ili zisich
Ahsante sana,nadhani muda huu nimechelewa.nitaenda asubuhi
 
Mashuka yapo mengi alafu makali sana na material yapo poa sana na bei ni kitonga ila nature yetu ya kupenda vitu used ndo mbaya me siuzi vitu vya mtumba
Mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…