Nimekosa mwanaume 'serious'

Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Jaribu kumtafuta MWANAJESHI wa CHEO cha chini katika JESHI la wananchi (KURUTA) ...

Mara nyingi huwa na upendo, nidhamu na HASIRA za ghafra.....
Pengine waweza mbebesha hilo zigo la STRESS........nae akakuvumilia...[emoji23] [emoji23]
 
We endelea tu kuchagua na unakaribia menopose subiri upate fibriods ndo utaelewa maana ya kuumbwa ke na me
 
Lia Sana wee bado unachagua mpka leo usijeshangA unachagua mpaka 35 hujapata
 
Kudos brother.

Kuna two terms LIGI SOO na LIGI NDOGO. In relationship watu wanashindwa kuzingatia hivi vitu.

Unaweza kukutana na demu mbaya (ligi ndogo)[japo wengi hawaamini kuna binadamu wabaya ila kiuhalisia wapo]halafu ana ndoto za kudate vidume venye vipo ligi soo. Sura hana..umbo hana..family class au status ipo down na vitu kama hivyo. KE wa namna hii atahangaika saana kuhook me wa ligi soo.

Hivyo hivyo kwa mwanaume wa ligi ndogo. Kama ameshajiwekea standards fulani ya kudate manzi ambao wapo ligi soo ilihali yeye ni kapuku..sura mbovu..pesa hana..family status ipo chini kwenye mapenzi atahangaika saana.

Bora ni kuishi kwenye ligi yako. Najua kila mtu hata kwa hisia au kwa kupima kwa macho anajua size yake. Sio me wala ke. Me ukishamwona mwanamke utajua akilini huyu tu atakuwa size yangu na nikimfuata shughuli haitakuwa kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…