Habari za kazi?
Juzi nilikuwa nafanya maombi kwenye vyuo mbali mbali vya afya through nacte on line registration sasa nkakosea email, nashindwa kuendelea na chochote.
Nawapigia hawapokei nawatumia email hawajibu sasa cjui nifanyeje wadau.
Naombeni mwenye mawazo au msaada!