Much love and respectWe bujibuji hiyo avatar yako hata kama sio wewe utakuwa na uhusiano nayo tu si bure aisee...nimecheka kama mshahara umetoka leo!
umeona ehhhUtakuja kufa
hahahahaha hahahahaha hahahahaha hahahahaha hahahahaha hahahahahaHaya maisha bila kucheka unaweza kujikuta unapewa kesi ya uchochezi
Kabonyeza titi moja apo jamani huu utawala wa awamu ya tano umekuja na mengiMoja ipi uliyobonyeza mkuu fafanua hapo