Nimekua nkishiriki mapenzi na mwanamke lakn sperm zinatoka kidogo sana tofauti na nlivyozoea

Nimekua nkishiriki mapenzi na mwanamke lakn sperm zinatoka kidogo sana tofauti na nlivyozoea

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2020
Posts
479
Reaction score
727
Habari za wakati huu,

Bila kupoteza naomba mnipe ushauri either wa kitabibu au vyovyote.
ni mieza kadhaa imepita tangu hili tatizo nianze kuliona.

Nimekua nkishiriki mapenzi na mwanamke lakn sperm zinatoka kidogo sana tofauti na nlivyozoea.
mwenye kujua tiba ya hili tatizo naomba nipate maelekez nijitibie itapendeza zaidi kama itakua tiba ya asili au kienyeji..

Nawasilisha
 
Habari za wakati huu

Bila kupoteza naomba mnipe ushauri either wa kitabibu au vyovyote.
ni mieza kadhaa imepita tangu hili tatizo nianze kuliona,
nimekua nkishiriki mapenzi na mwanamke lakn sperm zinatoka kidogo sana tofauti na nlivyozoea.
mwenye kujua tiba ya hili tatizo naomba nipate maelekez nijitibie itapendeza zaidi kama itakua tiba ya asili au kienyeji..

nawasilisha
Kula mbegu za maboga.... Utaleta mrejesho hapa!
 
Kula ugali dona wacha kushindia chipsi mayai
 
Back
Top Bottom