ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Leo nilikua mjini katika pitapita nikakutana na jamaa anayepromote zao la vanila kwa kuwa Mimi nilikua sijawah kusikia kabisa habari za biashara za kilimo cha zao vanila Basi akili ikanipelekea kuhisi huyu jamaa anayetokea Kagera atakuwa ni tapeli maana anadai benk ya kilimo imetoa billion 10 kwa hili zao.
Wao hiyo kampuni wanakutengenezea shamba la kisasa greenhouse kwa shilingi million 80 na mazao watakuwa wananunua wao. Sasa Mimi nikawa interested na vanilla nikaone ni Google ili niujue huu mti ambao upo Kama ua, nikakuta kweli picha Ni ileile aliyokuwa anatuonyesha jamaa mwisho nikawa sijaridhika nikaona nielekee Jf
Nika search vanilla ndo nikakutana na Uzi nilikua sijawah kuuona kwenye huo Uzi jamaa aliomba kabudi alete mbegu ya vanilla tanzania. Sasa Kumbe kilimo kipo tayari Titicomb na mrangi walishusha nondo balaa.
Tokea leo nimeamini member wengi humu ndani sio wa kuwadharau wanajua Mambo mengi Wana uwezo wa kukupa utajiri fasta ukanunua hata prado.shukran kwa wataalamu wote sa hv kwangu Mimi jf naitumia km Google nikijisikia kufaham maarifa fulan nayakuta jf washajadili
Nashauri vijana wengine watafute connection za maisha humuhumu ndani ila ndo uchukue tahadhari matapeli hawakosekani chunga usije kumtumia mtu pesa kizembe.Jf Ni hazina ndugu zangu Kuna binadamu wazuri Sana wanatusaidia Sana kupitia michango Yao tunafanikiwa