Nimekubali kushindwa narudi kijijini

Uamuzi wa kiume na wa kijasiri zaidi .
Nenda Kaka ,mkataa kwao mtumwa Kaka ,kalime ridhiki popote Kaka .

Ukifika wambie vijana wa Rika lako yote yaliyokukuta mjini na kipi umejifunza mjini ili waje wakijua fika kuwa Vita mjini ni kubwa kuliko wengi wanavyodhani.

Sijutii kuishi kijijini kwa maisha na Tania zangu mji ungeniuwa ,rudi tulime rafiki haujachelewa bado.
 
Uzi umekaa kifiki
Uzi umekaa kifikinawa sana nadhani hapa mtoa post alisha toboa ila huu uzi ni kwaajili ya hadhira na hapa wanafundishwa kukata tamaaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Akielewa na kufanyia kazi ushauri wako ni lazima atafanikiwa.
 
Mlidharau shamba
 
Ushauri wangu, usirudi kijijini baada ya kukata tamaa mjini. Rudi kijijini sababu umepata elimu ya mjini na hivyo unaenda kuitumia kijijini. Kijijini raha sana kama una plan.
 
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜„ hii n chartgtp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…