Nimekubali kushindwa narudi kijijini

Let say goodbye!
 
Hauna shemeji mjini ukaishi kwake?
 
Ung
Ushauri wangu, usirudi kijijini baada ya kukata tamaa mjini. Rudi kijijini sababu umepata elimu ya mjini na hivyo unaenda kuitumia kijijini. Kijijini raha sana kama una plan.
Ungetupa ufafanuzi kidogo mkuu raha yake ipo kwenye angles zipi tujifunzee .
 
Mume wako hakusapoti?


Wakati huo huoumeoa mke aliyekukimbia


Acheni hizo

Kazanazo unaona hii ni sahihi
 
Hakuna maisha bora zaidi ya yale mtu yeyote katika hii dunia anayoyaishi

Kama nyumbani kuna shamba nenda wekeza effort + energy yako kwa 100% after 10 utakuja hapa kunishukuru

Narudia tena effort + energy= lifetime investment
 
Mbona kama mwandiko wa AI
 
Wakati wako wa kuinuliwa na Mungu upo, endelea kupambana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…