Nimekubali matokeo, UKAWA Kanda ya Ziwa wako vizuri, Mnyika, Salum ni Combination ya hatari


asante sana kiongozi .
 
Last edited by a moderator:
MKUU HUKU kanda ya maji CCM ILIKATALIWA TOKA 2010.

HAPA MUSOMA SISI TUNAKIITA CHAMA CHAKAVU.

over.....!!

BACK TANGANYIKA
 
Mkuu Ruta, asante kwa hii, kwanza naomba kipimo cha kuchokwa kati ya mtualiyegombea mara 4, akakataliwa na Watanzania, na yule aliyegombea mara moja akafanyiwa hila!.

Pili nakubaliana ndani ya UKAWA kwa sasa, mwenye sifa zaidi za kuwa mgombea mmoja ni Prof, Lipumba, kwa sababu ndie msomi kuliko wote!, ila kama ni uprofesa tuu, kuna Profesa Beregu, kuna Profesa Safari, Kuna Dr. Nderakindo Perpetua, na labda kuna maprofesa wengine kibao ambao wako tayari, wenye rekodi safi za kutokukataliwa!, kufaa kuwa rais ni jambo moja, kukubalika na pande zote ni jambo jingine na kubwa kuliko ni kuchagulika na Watanzania, jee anachagulika?!.

Pasco
 
Mkuu Pasco sijaelewa unazungumzia nyomi au hoja? Maana nyomi ni jambo moja na kushinda uchaguzi ni ishu nyingine kabisa japo vinashabihiana.
Mkuu Nyota ya vyepe, asante kukumbushia hili la nyomi na kushinda!, kiukweli nimezungumzia tuu nyomi na nakubaliana na wewe, nyomi ni nyomi na kushinda ni kushinda, laiti hizo nyomi kwenye mikutano ya Chadema, zingekuwa ni za wapiga kura!, Chadema zamani ingeshatinga Ikulu!.

Pasco
 
bro, sidhan kama hilo litakuwa tatizo sana kwani tukumbuke hata samweli sita alitaka kupewa nafasi ya kugombea uraisi kwa tiketi ya CDM, hivyo cjui tatizo liwe kwa vyama vingine! lkn naamini wakisimamisha mtu mmoja wanachukua dola kwan. ahsante,

Swali linataka "anayefaa kuwa Rais" sio "anayetamani au anayetaka" !!!!
 


"Rekodi za kutokukataliwa" kaka mbona you are gathering ropes for your own hanging??!!!!
 

Usijichanganye! Nilifatilia pia uzi wako kuhusu maoni ya kura za siri, kura za mbali ( walionje ya bmk wakiruhusiwa na kanuni za umangumashi wa ccm) . Huko unatoa maoni yako na unaweka wazi wizi wa ccm. Kwa nini usiamini nyomi hiyo hupiga kura ila uibiwa kwa mtutu na ujanja wa ccm na vyombo vyake policcm)?

Uzuri 2015...kuwe na tume huru kusiwe, wakurugenzi hawataweza kuchakachua.....hata kwa mtutu wa bunduki za mapoliccm!
 

Maswali kama haya mara nyingi kama sio mara zote huwa hayajibiwi mkuu!!!!
Na hii ni shida kubwa sana kwa chama hiki na vingine ukiuliza maswali yanayotaka usumbufu wa akili utachukiwa na kuitwa majina kama sio kutukanwa!!!!

mohamed mtoi, Tumaini Makene mmeitwa na politiki
 
Last edited by a moderator:

Wewe ni mtu wa maGAMBA kwanini uwachagulie UKAWA MGOMBEA unajuaje pengine LIPUMBA hataki kugombea,,,,!! wee endelea kutandza Picha zza mazoezi za mgombea wako tu.kwenye magazet
 
Vipi mkuu umeishaacha ile biashara yako ya unga? Ama wachina bado wanakusaka?
 

Hatuhitaji kuwasaidia magmba kwa hilo. Tumegudua ccm inatumia tafiti na sera zetu kujinadi baada ya ahadi zao 2010 kutotekelezeka.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu,,,,ikiwa nawee unaona mageuzi ni jambo jema kwanini ucweke yale unayofahamu kuliko kuwalaumu hao watu,,,!! Siunajua mabadiliko yanaanza nawewe? au nawee ndio kati yawale wanaosubiri mambo yaharibike wapate kulaumu,,,, ! Mjue hawa watu waupinzani wanafanyakz kubwa sana ukichukulia CCM wametumia nguvu ya watanzania wt kuendeshea chama chao lkn vyama vya Upinzani wametumia maarifa na nguvu zao hadi kufikia hapo kwa mtazamo wako ccm ilivyo ndo nawao wangeanza upya wangekuwa km walivyo sas,,,!! Nikweli mapungufu yapo lkn tujiangalie nacc tunaowasupport tuna mchango gani,,!! vinginevyo labda km cmtu wakusupport mabadiliko,,,!
 
Last edited by a moderator:

Tuliza kipila Punga, wewe sio msemaji wala Mwana UKAWA kuwachagulia Mgombea.
W
 
bro, sidhan kama hilo litakuwa tatizo sana kwani tukumbuke hata samweli sita alitaka kupewa nafasi ya kugombea uraisi kwa tiketi ya CDM, hivyo cjui tatizo liwe kwa vyama vingine! lkn naamini wakisimamisha mtu mmoja wanachukua dola kwan. ahsante,
Mkuu,
Kwahiyo wasipochukua dola itakuwa balaa sana maana CCM itakuwa imevishinda vyama vyote vya upinzani na kwa mantiki hiyo upinzani utakuwa umekufa rasmi?

Fanyeni mfanyavyo 2015 UKAWA mna kazi kubwa sana mbeleni!
 
Tuliza kipila Punga, wewe sio msemaji wala Mwana UKAWA kuwachagulia Mgombea.
W

Dunia kweli kigeugeu, CUF walifunga ndoa takatifu na CCM Zanzibar na sasa bara wanatarajia Kufunga ndoa na UKAWA sasa ni wachumba tu!

Kweli hakuna adui wa kudumu hapa ardhini!
 
Dunia kweli kigeugeu, CUF walifunga ndoa takatifu na CCM Zanzibar na sasa bara wanatarajia Kufunga ndoa na UKAWA sasa ni wachumba tu!

Kweli hakuna adui wa kudumu hapa ardhini!

So long as aim ni kumng'oa Nduli,Intarahamwe na adui Mkuu wa wa Tanganyika,huo umoja una baraka za Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…