Siku zote CHADEMA inafanya mazuri tangu kuanzishwa kwake, wewe umejivisha upofu usiokuwa nao ndiye usiyetaka kuyaona mazuri ya CHADEMA. Huu umati uliouona kwenye taarifa ya habari ni ushahidi tosha wa kuonyesha kukubalika/kupendwa kwa CHADEMA katika kanda hiyo.
Mkuu Pasco
Chadema walifanyia mkutano wao uwanja wa Mbuguni sijui kama unajua ukubwa wa huo uwanja.
Hakuna chama chochote cha siasa kilichofanya mkutano uwanja wa Mbugani kikakosa watu.
Kwa kukufahamisha tu uwanja wa mbugani ukubwa wake ni nusu ya uwanja wa kidongo chekundu, nimeshangaa umefanya reference ya kanda ya ziwa kupitia uwanja mbugani chini ya camera za ITV.
Halafu umesahau kuwa kuna vyama viwili Chadema na UKAWA sijui unaongelea combination gani wakati urais unatakiwa na Prof. Lipumba na Dr.Slaa.
Sijaona fuso hata moja ama nimekosea?
Kamanda mbona unaenda mbali sana ungeulizia tu matokeo ya uchauzi Majimbo mawili Chalinze na Kalenga matokeo yalikuaje.
Wanabodi,
Nimeangalia Taarifa ya habari ya ITV, saa 5:00 usiku huu, kiukweli Nimekubali Matokeo!, UKAWA Kanda ya Ziwa ni Noma!, hii combination ya JJ. Mnyika na Salum Mwalimu, ni combination ya hatari sana kwa uhai wa CCM Kanda ya Ziwa.
Kwa jinsi nilivyoushuhudia umati uliojitokeza, nairudie tena ile kauli ya kuwa Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!
Sasa ikitokea na Kanda ya Ziwa, CCM ikachokwa mpaka basi, naomba kukiri, kwa uchaguzi wa 2015, kazi itakuwa ni rahisi sana, ni kama kumsukuma tuu mlevi!.
Kanda ya Kaskazini, waliisha kata shauri siku nyingi, kuwa CCM Basi!, ila kura za Kanda ya Kasikazini sio decisive kwa sababu kanda hiyo sio determinant ya nani anakuwa rais wa nchi hii, lakini kwa upande wa Kanda ya Ziwa, kura za kanda ya Ziwa ndio zina determine, ni nani anakuwa rais wa Tanzania!, hivyo ni decisive votes!.
Kazi kubwa ya Wanaukawa ni changamoto ya mgombea mmoja atakayekubalika pande zote, mwenye uwezo wa kuchagulika!. Ikitokea CCM wasimsimamishe yule "jamaa yangu!", na ukawa ikamsimamisha mgombea mmoja strong!, 2015 hili "dubwana" linakwenda chini!.
Hongera Mnyika, Hongera Salim Mwalimu.
Wasalaam
Pasco.

Ikulu sio chooni kama vilivyo vyoo vya kwenye baaa au magesti kwamba kila mtu anaingia, la hasha, hawataingia hao miaka buku 5, nyie jidanganyeni afu muone, hao watu ni wa vurugu na undugulization, wapenda madaraka kamwe hawatafanikiwa labda mpaka atakapokuja Yesu kwa mara ya pili.
Baada ya kutajwa kwa jina la Salum Mwalimu kuwa mgombea wa Chadema Zanzibar, sasa naamini Sarari ya UKAWA kuelekea IKULU, inawezekana!.
Hii kitu niliisema mwaka jana!.
Pasco
Uwingi wa watu kwenye mikutano ya njaa hiyo haimaanishi kuwa eti Chadema ndo watapita, vijana wenyewe hata kura hampigi, mnashabikia ujinga tuu lkn mwisho wa siku baba atazidi kuitwa baba na mtoto atabaki kuwa mtoto as well as mama ataitwa mama, msipoteze muda wenu kurubuniwa na wachumia matumbo wanaojiita Ukawa, wana njaa tu haokanda ya ziwa hatuna masihara tuna elimu na tunajitambua cna.tunaangushwa na mikoa km tabora hauna upinnzan mkoa ule nishidaah
Kwa jinsi ulivyo shabiki yani uko kama bendera fata upepo hata ukiambiwa kula kinyesi wala sikushangai unaweza ukala
Baada ya kutajwa kwa jina la Salum Mwalimu kuwa mgombea wa Chadema Zanzibar, sasa naamini Sarari ya UKAWA kuelekea IKULU, inawezekana!.
Hii kitu niliisema mwaka jana!.
Pasco
ondoa matangazo yako ya vifo hapa, ikulu sio chooni wewe fahamu hilo, ukawa watapasikia kwenye redio tuuu, wewe shabikia tu maana hujui kitu, wale ni wachumia matumbo tuu wanaongea mwisho wa siku wanaambulia sifurikabisa mkuu tathmini i thabiti na yakini kuwa ikulu yasubiri watetezi wa watanzania!! Surely ccm leaks wound from its death invite patriots for the burial
Kwa jinsi ulivyo shabiki yani uko kama bendera fata upepo hata ukiambiwa kula kinyesi wala sikushangai unaweza ukala