Nimekubali matokeo, UKAWA Kanda ya Ziwa wako vizuri, Mnyika, Salum ni Combination ya hatari

Kuna member kauliza majina ya wagombea kwenye yale majimbo12 kwa nini UKAWA hawajatoa majina kama wao ni vidume hajasema!na hilo li ndoano lao mwaka huu lisipopasuka na kufa kabla ya Oktoba sijui!!!maana hayo 12 yanawaliza je ikifikia Kumpata mgombea wa Urais teh teh teh teh talaka itatembea tu kila mtu asepe kivyake!
 
Wandugu, hapa nakumbushia nilisema nini lini, na nilijibiwa nini, halafu sasa kinatokea nini!.

Pasco
 
Yaaaani siku ukiona mwanamke kpata mimba bila kuwa na mwanaume ndio hiii kauli MTU kupita bila kipingwa na hatotokea jicheki pua juu chini?
 
Utaendela kukubali hata kwenye mengine! Taratibu i can see you come to your senses! Haha
Mimi ni kawaida yangu, Chadema mnapofanya mazuri, huwa nawakubali sana, na huwapongeza, ila mnapoboronga nawabalasa na hapo kwenye kubalasa ndipo huwa shughuli!.

Pasco.
Nimemkumbuka Kamanda Mtoi.

RIP Mohamedi Mtoi!.

Pasco
 

 
Karibu
P
 
Huyu ndiye JJ Mnyika
Mkuu Umkonto, UmkhontoweSizwe, utakuwa humjui vizuri JJ. Mnyika!, he is one of the very few fine and the good ones Chadema has!. JJ. Mnyika is very good kwenye data collection ila sio kwenye kushindilia misumari, ili Mnyika afanye vizuri he needs a team mzuri to play with, kwa sasa team play hiyo haipo Chadema!. Zamani JJ. Mnyika akiwa Bungeni huku Zitto Kabwe, kule Tundu Lissu, Mnyika ataibua hoja full of dataz, Zitto ambaye ni mjenga hoja mzuri, ataiongezea momentum kisha Lissu ambaye ni mlipuaji mzuri, atabutua!, Spika chali!. Hata mfugaji mzuri wa ambao, hawezi kufunga kama hakuna mtu wa kumpelekea mipira ya kubutua na kufunga mabao!.

Enzi zile wakati PPR ilikuwa ni PPR kweli, wakati vikao vya Bunge vikiendelea Dodoma, nikapenyezewa dossier fulani vyeti, kesho yake nilikwea the first flight to Dodoma, kumfuata JJ. Mnyika kumkabidhi Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!

Hata ule moto ambao Tundu Lissu huwa anawasha Bungeni from time to time, the data collector ni JJ Mnyika!, ilifikia kipindi tulimuomba Lissu apunguze kumpelekea moto Madam Speaker, Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu! Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!.

Kwenye uchaguzi Mkuu wa 2010 JJ Mnyika ndie alikuwa mgombea wa kwanza kujihakikishia ushindi na aliyeutangaza ushindi wa JJ Mnyika sio mwana jf mwingine bali ni huyu huyu Elections 2010 - Mchakato Majimboni: JJ. Myika, Ubungo Yako, Njia Nyeupe

JJ Mnyika is damm good!, but hana team work nzuri to play with na kwa maoni yangu Chadema hii haina team work, angalia hapa Lissu anavyowaita viongozi wenzake Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Kiukweli kabisa uchaguzi wa 2025 upinzani wana kazi kweli kweli to regain back the control of what it used to have!.

P
 

Well documented mkuu!

Ukipata wasaa wa kutafiti, tusaidie kujibu hili swali la kitafifi: "vita vya Urais ndani ya CCM mwaka 2015, imedumaza CHADEMA: kweli ama sio kweli?

Miaka takribani 8 toka 2015, je tunao ushahidi sisisi kuhusu ukweli ama sio ukweli kuhusu swali hili?

Natanguliza shukrani
 
Mkuu 50thebe, kwanza thanks, hili la "vita vya Urais ndani ya CCM mwaka 2015, imedumaza CHADEMA: kweli ama sio kweli?,
Jibu ni kweli na pia sio kweli,

Naanza na sio kweli: Uchaguzi wa 2015, Chadema kama chama, kilikuwa hakina mtu wa kuwaletea ushindi na kuwaingiza ikulu, hivyo vita vya urais ndani ya CCM, ndio vimeipatia Chadema mgombea capable kuwaingiza Ikulu, hivyo this is an advantage.

Ni kweli ujio wa Lowassa Chadema, ukaidumaza, kutokana na Lowassa kuwa ni very high profile person with ukwasi wa kutosha, Chadema wakawa na too much na too high expectations kuwa Edward Lowassa was a panacea wa matatizo yote ya Chadema, na akina sisi japo tuliwapa high expectations, pia tuliwapa na angalizo CHADEMA ni hadithi ya mgeni njoo mwenyeji apone au akome?! Majirani mnakasirika nini?!

Haya ndio yalikuwa mategemeo na matarajio ya Chadema Elections 2015 - Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio! matokeo ndio hivyo tena!, mpaka leo Chadema bado imedumaa pale Ufipa ikizidi kusinyaa na kupauka!.

P
 

Mkuu Pascal Mayalla

Kumbe tayari ushaandika hii mada!

Nashukuru sana. Acha nisake ushahidi zaidi, maana bado inatatiza kufikia hitimisho. Dynamics nyingi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…