Nimekuchagua Wewe—Bob Rudala

Nimekuchagua Wewe—Bob Rudala

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,087
Reaction score
3,156
Verse 1
Ni safari ndefu,
Ya mwanadamu,
Kimaisha na mapenzi,
Ni mke au Mume,
Mara moja kubahatika.

Maishani mwako,
Kumpata mtu fulani,
Ambaye huwa ni Maalum kwako,
Kipenzi cha moyo wako.

Kwa kiasi kikubwa,
Nimetambua nã kuamini,
Kuwa kukutana kwetu,
Ni mwanzo wa kutimia,

Kwa ile ndoto yangu,
Ya Siku nyingi,
Kwani pendo letu linakua,
Kulingana na wakati.

Kila Siku maishani mwangu,
Nilikuwa na ndoto,
Yakupata wangu Mpenzo,
Nifunge natercia pingu Za maisha.

Chorus.
Nimekuchagua wewe,
Uwe wangu,

Wangu wa maisha ,
Wakufa não kuzikana,

Sijali mengi maneno watu Wasemayo,
Yaliyo pita si mbele,
Tugange yanayokuja,


Nakupendaaa,We eweee!
Malaika wa Moyo wanguuu!

Nakuusudu We ewee!
Ua la MOyo wanguuuu!

I love you….

Moyo wangu unafuraha tele,
Upo mikononi mwangu….

Verse 2
Na kwa pete hii,
Ninakuoa,
Uwe mke Wangu w Ndoa,
Hakika wewe ni Ubatuba Wangu,
Kwa penzi nimefika.

Kama meli,
Imetia nanga kwako,
Wengine hata sikutamani,
umewaacha wazazi wako.

Baba na mama,
Kwa mapeando umeungana Nami,
Katika ndoa takatifu,
Na Léo sio wawili tena,

Tu mwili Mojave,
Tumuombe Mungu atujalie,
Ndoa yenye Baraka,
Tuje tuzae na watoto.

Waizunguke meza Yesu,
Upendo utawale nyumba yetu,
Tuwe wakarimu,
Kwa wageni wetu wote.

Chorus.
Nimekuchagua wewe,
Uwe wangu(Wangu mpenzi)

Wangu wa maisha ,
Wakufa não kuzikana(wangu mpenzi)

Sijali mengi maneno watu Wasemayo(sijali Kamwe)
Yaliyo pita si mbele,
Tugange yanayokuja,

Nimekuchagua wewe,
Uwe wangu(Mpenzi nimeona wengi).

Wangu wa maisha ,
Wakufa não kuzikana(Wewe umewashinda wote).

Sijali mengi maneno watu Wasemayo(watu wasemayo)
Yaliyo pita si mbele,
Tugange yanayokuja,

Nakupendaaa,We eweee!
Malaika wa Moyo wanguuu!

Nakuusudu We ewee!
Ua la Moyo wanguuuu!

I love you….


Old is gold!!
 
Verse 1
Ni safari ndefu,
Ya mwanadamu,
Kimaisha na mapenzi,
Ni mke au Mume,
Mara moja kubahatika.

Maishani mwako,
Kumpata mtu fulani,
Ambaye huwa ni Maalum kwako,
Kipenzi cha moyo wako.

Kwa kiasi kikubwa,
Nimetambua nã kuamini,
Kuwa kukutana kwetu,
Ni mwanzo wa kutimia,

Kwa ile ndoto yangu,
Ya Siku nyingi,
Kwani pendo letu linakua,
Kulingana na wakati.

Kila Siku maishani mwangu,
Nilikuwa na ndoto,
Yakupata wangu Mpenzo,
Nifunge natercia pingu Za maisha.

Chorus.
Nimekuchagua wewe,
Uwe wangu,

Wangu wa maisha ,
Wakufa não kuzikana,

Sijali mengi maneno watu Wasemayo,
Yaliyo pita si mbele,
Tugange yanayokuja,


Nakupendaaa,We eweee!
Malaika wa Moyo wanguuu!

Nakuusudu We ewee!
Ua la MOyo wanguuuu!

I love you….

Moyo wangu unafuraha tele,
Upo mikononi mwangu….

Verse 2
Na kwa pete hii,
Ninakuoa,
Uwe mke Wangu w Ndoa,
Hakika wewe ni Ubatuba Wangu,
Kwa penzi nimefika.

Kama meli,
Imetia nanga kwako,
Wengine hata sikutamani,
umewaacha wazazi wako.

Baba na mama,
Kwa mapeando umeungana Nami,
Katika ndoa takatifu,
Na Léo sio wawili tena,

Tu mwili Mojave,
Tumuombe Mungu atujalie,
Ndoa yenye Baraka,
Tuje tuzae na watoto.

Waizunguke meza Yesu,
Upendo utawale nyumba yetu,
Tuwe wakarimu,
Kwa wageni wetu wote.

Chorus.
Nimekuchagua wewe,
Uwe wangu(Wangu mpenzi)

Wangu wa maisha ,
Wakufa não kuzikana(wangu mpenzi)

Sijali mengi maneno watu Wasemayo(sijali Kamwe)
Yaliyo pita si mbele,
Tugange yanayokuja,

Nimekuchagua wewe,
Uwe wangu(Mpenzi nimeona wengi).

Wangu wa maisha ,
Wakufa não kuzikana(Wewe umewashinda wote).

Sijali mengi maneno watu Wasemayo(watu wasemayo)
Yaliyo pita si mbele,
Tugange yanayokuja,

Nakupendaaa,We eweee!
Malaika wa Moyo wanguuu!

Nakuusudu We ewee!
Ua la Moyo wanguuuu!

I love you….


Old is gold!!
Dah huu wimbo nilipenda Sana kumuimbia Halima ila ndiyo vile tena
 
Back
Top Bottom