Tate Mkuu, Ahsante sana.
Baadhi ya hobby zangu ni kama;
1. kufahamu zaidi kuhusu tarakilishi (kompyuta)
2. Kufahamu njia mbalimbali
halali za kuweza kupata hela (sina mtaji) na baadae kuweza kuwaelekeza wengine na kuwavusha wengine
3. Kufahamu namna ya kushawishi mtu au watu juu ya kitu fulani
4. Mbinu mbali mbali za kumfanya mtu anunue kitu
5. Kufahamu zaidi kuhusu saikolojia ya akili ya binadamu
6. Kufahamu namna ya kutengeneza wafuasi mtandaoni
7. Kufahamu tiba mbalimbali asilia, kutoka kwa makabila mbalimbali
Kama tukipeana ushirikiano katika haya, hakika si mimi pekee bali pia jamii ya Tanzania itanufaika na kupiga hatua kadhaa mbele
Nasubiri michango yenu.
Ahsante