nimekuja kuwashika

Joined
Aug 23, 2013
Posts
71
Reaction score
10
neitwa ikigoma iwachu nikimaanisha kigoma kwetu! mkoa wenye kila sifa njema fursa za kumwaga na kila aina ya vivutio unaujua lowe, mgebuka, sokwe. watu wote mashuhuri wameshafika kigoma. bado wewe tu. njooo mkoa wa masuperstar wanao run hii TANZANIA Karibhu ikigoma iwachu.
 
Asante sana nitafika siku moja, nawe karibu mkoa mpya wa Katavi. By the way karibu sana jamvini.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana nitafika siku moja, nawe karibu mkoa mpya wa Katavi. By the way karibu sana jamvini.
 
Last edited by a moderator:
Yahaya unaishi wapi,
jina lako la kwanza ni nani yahaya ........... by The secretary

Karibu sana yahaya
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…