Nimekuja kuwashika

Nimekuja kuwashika

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,329
Hellow..

Nimekuja jamiiforum kuwashika wote..

Wazo la leo

Maisha ni kama gwaride, wakisema Nyuma geuka wa mwisho anakuwa wa kwanza..

So uliye bosi leo usijione umefika, wakisema nyuma geuka tu bosi unakuwa secretary au mfagia choo
 
Karibu sana JF...
Punguza mbwembwe
 
Huyu mgeni mbona kaja na mbwembwe namna hii...
 
Back
Top Bottom