Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Kwa wasio jua Nini maana kilimo na Nini maana betting.kilimo ni betting
Mkuu nimeeleza wazi kuwa eneo nililopata wanalima sana maharage nikasema soko liko pia labda bei tuUNALIMIA WAPI.JE HUKO HUWA WANALIMA MAHARAGE AU WW MDYO UNAANZA HAPA
Ungetusaidia kuijua hiyo mikoa ingekuwa vema ili tukawe makini katika hilo aisee maana unaweza kuingiza mtaji wako ukaishia kulia kama umefiwaWakati unatafuta mbinu za kilimo nenda pia sokoni ukajue ni maharage yepi yana market kubwa.
2025 nilizunguka masokoni ndio nikajua sio maharage yote ya njano yanatakiwa sokoni. Kuna mikoa ambayo inaaminika kutoa maharage ambayo baada ya muda yanabadilika rangi na wanunuzi wa jumla hawayataki kabisa .
Sasa hivi maharage ya njano toka Rukwa na Kagera wauzaji wa jumla hawataki , lakini huu utafiti nilifanya soko la Tegeta Nyuki. Sijajua kwinginekoUngetusaidia kuijua hiyo mikoa ingekuwa vema ili tukawe makini katika hilo aisee maana unaweza kuingiza mtaji wako ukaishia kulia kama umefiwa
Aisee ok kiongozi nashukuru kwa taarifa. Hivi vitu bila taarifa unaweza jikuna unakurupuka na mzigo kisha unaangukia pua, kifuatacho ni hasara na mtaji kufa.Sasa hivi maharage ya njano toka Rukwa na Kagera wauzaji wa jumla hawataki , lakini huu utafiti nilifanya soko la Tegeta Nyuki. Sijajua kwingineko
Ahsante kwa taarifaSasa hivi maharage ya njano toka Rukwa na Kagera wauzaji wa jumla hawataki , lakini huu utafiti nilifanya soko la Tegeta Nyuki. Sijajua kwingineko
KabisaAisee ok kiongozi nashukuru kwa taarifa. Hivi vitu bila taarifa unaweza jikuna unakurupuka na mzigo kisha unaangukia pua, kifuatacho ni hasara na mtaji kufa.
Karibu mkuu, jaribu upite na masoko mengine labda utapata maoni tofauti. Kikubwa wanasema baada ya muda yanabadilika rangi, ule unjano unapotea. Wanataka ya Kiteto na kaskazini kwa ujumla ndio yana market sana.Aisee ok kiongozi nashukuru kwa taarifa. Hivi vitu bila taarifa unaweza jikuna unakurupuka na mzigo kisha unaangukia pua, kifuatacho ni hasara na mtaji kufa.