Nimekuja Morogoro, Mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini

Leo nimekuja kutembea Morogoro, cha ajabu kuna mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini, wanakuwa kama wamelewa chakari. Kitaalamu hii inaitwaje?

JamiiCheck fanyeni utafiti mje na jibu ili kunusuru maisha ya hawa viumbe.
Nenda kapime utakuwa na ABS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…