Paroko da travellor
Senior Member
- Oct 16, 2012
- 102
- 101
Habarini wandugu, baada ya kuona uhaba na uhitaji mkubwa sana wa vitabu vya sheria kwa kiswahili niliamua kujificha kwa mda ili nije na kitabu kitakachokuwa kimesheheni madini mbalimbali kuhusu sheria!
Hivyo basi nmekuja na kitabu kinachoitwa ulimwengu wa sheria na haki kikiwa kimesheheni sheria kama sheria za mirathi,sheria za ndoa,sheria za ardhi sheria za kazi na haki za mfanyakazi pale anapofukuzwa kazi,sheria za jinai na utetezi wake nk.
Ninatumaini nimechangia kwa kiasi chake ktk ulimwengu wa sheria na haki tz! Kwa wale wanaohitaji tuwasiliane popote ulipo unakipata
Tuwasiliane 0717901233!