Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,204
- 5,710
View attachment 260922Alitupatia miaka yakucheka, kushangilia na kuunganishwa kama wa Tanzania kupitia michezo.
Na nakiri hata wasiojua Mpira Enzi izo waliufahamu kwa namna moja ama nyingine, walishangilia ama kuipenda Taifa Stars
View attachment 260923
Magari yaliandika Jina lake, bajaji na daladala miaka ya Marcio na stars, ilikuwa Rais tu kuona Gari limebandika picha au kuandikwa Maximo Marcio
Kuna Watoto waliozaliwa Tanzania kati ya 2006-2009 wanaitwa jina la kocha huyu
View attachment 260924
Walau Enzi za Maximo Taifa stars ikicheza watanzania tukikuwa na Tumaini, tulithubutu kusema Leo tunashinda hata kama mechi yetu ilikuwa ni dhidi ya nguli Nigeria, Cameroon, Ivory cost nk
Ndio maana tulikuwa enzi izo tukijaza Uwanja. Kwa kumbukumbu zangu tulinunua Jezi za Star kuliko kipindi kingine Chochote.
Magari yalipita barabarani tukapiga sahihi Zetu kwenye wallpaper maalumu kuisapoti Stars
Maximo Nimekukumbuka
View attachment 260925
Tumemisi kuipokea Taifa Stars kwa Shangwe.
View attachment 260926
Leo Stars tukisema ipo kundi moja na Nigeria kila mtu anajua tushatoka
Enzi za Maximo wengi tuliondoa uoga kama huu na Jina kichwa Cha mwendawazimu lilianza au lilipotea
Ninakukumbuka Maximo
Leo lile jina la kichwa cha mwendawazimu limerudi 100%
Uliibua vipaji.
Ulikuwa na Msimamo
Naikumbuka mechi Yetu na Burkinafaso Tuliposhinda Bao 1:0 TULISHANGILIA SIKUMBUKI LINI NITASHANGILIA TENA STARS KAMA VILE
Mechi na Sudan kisha CHAN mapokezi mpka Mbunge akavua shati hadharani.
Bungeni wabunge walikubali kuachia Posho zao zote za siku, Jumla ya milioni 33
Nimekukumbuka
Siku za maisha yako ya mwisho na Stars Watu wengi waliomba aje Kocha Mwingine eti Umechoka na Umeishiwa mbinu, mimi nilikuwa bado naimani na wewe.
niliandika hapa JF: Nenda Marcio Maximo lakin Tutakukumbuka
Tangu Enzi hizo Hajaja Kocha zaidi Yako. Ndio maana Nimekukumbuka Maximo