Nimekukumbukeni

Swahilian

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2009
Posts
591
Reaction score
69
Nimekukumbukeni' si kweli nilikuacheni' yupi kakwambieni.? Usiku na mchana nipo mtaani' enh! Bado naungua tu juani' naye tulokuwa naye sinaye mkononi' majahili waminiweka shakani' mlango wangu utumwani' siishi weka mkono shavuni' nalia mpaka naanguka sakafuni' nyumbani kwangu ati niwe mgeni? Ah! Wajameni nsaidieni hata chozi nfuteni! Basi mnieleweni na msinyongee ntarudi inshaallah! Wote wangu aso wangu hajaletwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…