Kweli hapo mzazi hana bahati. Alikutunza vizuri, akakupeleka hadi shule ukajua kusoma na kuandika hadi ukaweza jiunga na JF. Leo unamthibitishia kuwa, umekubuhu kiasi kwamba hutaki hiyo siagi ipandie huko tena unaiteremshia kwa juu kama mchuzi?? Mungu, mbona unaruhusu hiki kiumbe chako kipate taabu hivi?? Si ukiite nyumbani tuu!! Kha!