Nimekula mayai yaliyochemshwa manne na maharage yaliyoungwa vizuri sanaa

Nimekula mayai yaliyochemshwa manne na maharage yaliyoungwa vizuri sanaa

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
1,199
Reaction score
1,346
Wakuu leo nimebahatika kula msosi wa maana sanaaa.

Mayai mchemsho+ maharage yaliyoungwa.

Mara baada ya msosi huo nikashushia maziwa fresh kikombe cha nusu Lita hivi.

Kuna watu walionikuta napiga menyu hiyo wakawa wanasema kuwa mbona kijana unatengeneza Bomu tumboni?

Sasa sikuwaelewa kabisa nikahisi labda wananionea gere kwa kuwa nakula mayai na maharage pamoja na maziwa.

Watalaam wa afya na lishe naomba mnielimishe umuhimu wa hivyo vyakula tajwa mwilini pamoja na madhara yake.

Yawezekana ni kweli nilikuwa natengeneza Bomu tumboni ( hypothesis).

Sasa wanasayansi mkuje na utalaam wenu m- reject au m- accept the claim.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha
FB_IMG_1553021371496.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Back
Top Bottom