Nyankuru Wankuru JF-Expert Member Joined Apr 22, 2018 Posts 1,199 Reaction score 1,346 Mar 27, 2019 #1 Wakuu leo nimebahatika kula msosi wa maana sanaaa. Mayai mchemsho+ maharage yaliyoungwa. Mara baada ya msosi huo nikashushia maziwa fresh kikombe cha nusu Lita hivi. Kuna watu walionikuta napiga menyu hiyo wakawa wanasema kuwa mbona kijana unatengeneza Bomu tumboni? Sasa sikuwaelewa kabisa nikahisi labda wananionea gere kwa kuwa nakula mayai na maharage pamoja na maziwa. Watalaam wa afya na lishe naomba mnielimishe umuhimu wa hivyo vyakula tajwa mwilini pamoja na madhara yake. Yawezekana ni kweli nilikuwa natengeneza Bomu tumboni ( hypothesis). Sasa wanasayansi mkuje na utalaam wenu m- reject au m- accept the claim. Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu leo nimebahatika kula msosi wa maana sanaaa. Mayai mchemsho+ maharage yaliyoungwa. Mara baada ya msosi huo nikashushia maziwa fresh kikombe cha nusu Lita hivi. Kuna watu walionikuta napiga menyu hiyo wakawa wanasema kuwa mbona kijana unatengeneza Bomu tumboni? Sasa sikuwaelewa kabisa nikahisi labda wananionea gere kwa kuwa nakula mayai na maharage pamoja na maziwa. Watalaam wa afya na lishe naomba mnielimishe umuhimu wa hivyo vyakula tajwa mwilini pamoja na madhara yake. Yawezekana ni kweli nilikuwa natengeneza Bomu tumboni ( hypothesis). Sasa wanasayansi mkuje na utalaam wenu m- reject au m- accept the claim. Sent using Jamii Forums mobile app
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Mar 27, 2019 #2 CCM itazidi kutawala maisha kama mawazo yetu ni haya
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Mar 27, 2019 #3 Aisee kweli ushuzi umepata mjambaji
Rabonn JF-Expert Member Joined Nov 7, 2018 Posts 5,789 Reaction score 11,106 Mar 27, 2019 #4 Sky Eclat said: CCM itazidi kutawala maisha kama mawazo yetu ni haya Click to expand... Ahahahahah..Sasa mkuu ili isitawale inabid tuwaze mambo gan??heb wasaidie vijana
Sky Eclat said: CCM itazidi kutawala maisha kama mawazo yetu ni haya Click to expand... Ahahahahah..Sasa mkuu ili isitawale inabid tuwaze mambo gan??heb wasaidie vijana
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Mar 27, 2019 #5 Hayo maneno na huo mfanano wa picha,nashindwa cha kuandika.
Nyankuru Wankuru JF-Expert Member Joined Apr 22, 2018 Posts 1,199 Reaction score 1,346 Mar 27, 2019 Thread starter #6 Ccm chama chetu kimeingiaje hapa??? Sky Eclat said: CCM itazidi kutawala maisha kama mawazo yetu ni haya Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm chama chetu kimeingiaje hapa??? Sky Eclat said: CCM itazidi kutawala maisha kama mawazo yetu ni haya Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
mashonga JF-Expert Member Joined Nov 30, 2013 Posts 595 Reaction score 970 Mar 27, 2019 #7 ha ha Sent using Jamii Forums mobile app
kulangwa22 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 739 Reaction score 546 Mar 27, 2019 #8 Kwa fikra na mawaz aya ccm itoke madarakan[emoji23][emoji23][emoji23]miaka buku Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa fikra na mawaz aya ccm itoke madarakan[emoji23][emoji23][emoji23]miaka buku Sent using Jamii Forums mobile app