Nimekuletea list za biashara mbalimbali.... Kamata moja ujikomboe

Aisee... hapo ni kuangalia biashara ipi inafaa mahali ulipo na mtaji wako, ahsante sn mkuu
 
Hyo namba 15 mbn mpya masikion kwngu?
Pikpiki haitumii WESE? [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Uku vizuri nikifanya kumi kati ya hayo nitamuwa mbali. Haaaah hela bwana
 
Asante
 
asante sana kwa kuongeza tafakari vichwani mwetu, nimeyapenda mawazo na fikra zako.
 
namba 63 hivi mpaka leo ni applicable...au umeandika tu mkuu.
 
Najua nikitulia sikosi hata mbili shukrani mkuu

Asante sana mm tayri nimechukua namba 28. Hii ndio plan yangu kwa mwezi wa kwanza 2017.tayri tasimini nimefanya. Kwa hapa K/KOO
Kodi ya frem,kwa mwaka.
Mshahala w kijana.
Na mtaji pia.
Mungu simamia hili langu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…